Tanzania's SGR is of poor quality

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
11,444
11,504
Just look at these stations and tracks.
tapatalk_1550341080238.jpeg

Tanzania-upbeat-its-SGR-will-be-the-best-in-Africa.jpg
 
Hiyo picture ya railway sio ya Tanzania and I don't know all this for what
 
Mimi miradi ya awamu hii mfano hii reli mpya inayoitwa SGR, bwawa la mto rufiji linaloitwa Stigler Gorge na hata ufufuaji wa ATCL huwa navitilia mashaka sana. Uzoefu unaonyesha kuwa mambo yaliyolazimishwa na serikali(awamu zote) bila kuwashirikisha wadau mwishowe yaliishia kuleta hasara na matatizo makubwa sana.

Mifano ni mingi sana. Kwanza ni muungano ambao mpaka sana ni pasua kichwa. Muungano ulilazimishwa kutoka juu na hakujawahi kuwa na muafaka wa kitaifa kwenye hili jambo. Madhara yake ni ubaguzi unaoendelezwa huko zanzibar na uporaji wa hata haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka.

Jambo jingine lililoishia vibaya na kuiharibu nchi kwa kiwango kikubwa ni azimio la Arusha. Azimio hili lilitungwa na watu wachache wakishinikizwa na mwenyekiti wa chama wakati huo Mwl. Nyerere (pia yawezekana alilitunga mwenyewe). Kutokana na kukosa ushrikishwaji wa wananchi na wadau, na pia kuwakandamiza wale waliolipinga katika serikali, nalo liliishia kwenye dustbin baada ya majaribio ya kulitekeleza kwa muda mfupi.

Mambo mengine yalioshushwa na mwenyekiti moja kwa moja na yakaishia kusikojulikana yametapakaa kila mahali. Sihitaji kuyawekea mifano mmoja mmoja hapa. Kwa mfano, kwa muda mfupi tu uliopita katika awamu hii tumejionea wenyewe madhara haya kwenye korosho, sukari, nk.

Ushauri ni kuwa serikali uchukue tahadhari sana kabla ya kufanya maamuzi ya mambo yanayogusa watu na jamii kwa ujumla. Madhara ya haya mambo, ni kulipishwa madeni tunayokopa hasa hasa pale ambapo hizo projects hazitakuwa zinaleta faida tunazotarajia. Wao watadai pesa zao, tuwe tunapata faida ama hasara haitawahusu hawa wadeni wetu watakaokuwa wametukalia kooni.

Niishie hapa.
 
Wakenya..hizi nguzo mbona kama zimepishana, imean zimekaa zig zag au maxho yangu yanadanganya.
IMG_20190226_084251.JPG
 
You are pessimist and still dwelling on the yesteryears
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom