NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,722
- 11,819
Just look at these stations and tracks.
Tuletee latest tuzione.hizi photo ni za mwaka gani?
Acha kuweweseka mapema, it is the longest electrified railway in Africa, the first bullet train in Africa.
Hakuna ballast? Ghai wamepigwa
Hakuna ballast? Ghai wamepigwa
Kwani wanajenga kienyeji au kitaalamu na kwa vipimo sahihi?The track is so narrow....
Maxho ndio nn aise, unaandikaje sasWakenya..hizi nguzo mbona kama zimepishana, imean zimekaa zig zag au maxho yangu yanadanganya.
View attachment 1032250
You are pessimist and still dwelling on the yesteryearsMimi miradi ya awamu hii mfano hii reli mpya inayoitwa SGR, bwawa la mto rufiji linaloitwa Stigler Gorge na hata ufufuaji wa ATCL huwa navitilia mashaka sana. Uzoefu unaonyesha kuwa mambo yaliyolazimishwa na serikali(awamu zote) bila kuwashirikisha wadau mwishowe yaliishia kuleta hasara na matatizo makubwa sana.
Mifano ni mingi sana. Kwanza ni muungano ambao mpaka sana ni pasua kichwa. Muungano ulilazimishwa kutoka juu na hakujawahi kuwa na muafaka wa kitaifa kwenye hili jambo. Madhara yake ni ubaguzi unaoendelezwa huko zanzibar na uporaji wa hata haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka.
Jambo jingine lililoishia vibaya na kuiharibu nchi kwa kiwango kikubwa ni azimio la Arusha. Azimio hili lilitungwa na watu wachache wakishinikizwa na mwenyekiti wa chama wakati huo Mwl. Nyerere (pia yawezekana alilitunga mwenyewe). Kutokana na kukosa ushrikishwaji wa wananchi na wadau, na pia kuwakandamiza wale waliolipinga katika serikali, nalo liliishia kwenye dustbin baada ya majaribio ya kulitekeleza kwa muda mfupi.
Mambo mengine yalioshushwa na mwenyekiti moja kwa moja na yakaishia kusikojulikana yametapakaa kila mahali. Sihitaji kuyawekea mifano mmoja mmoja hapa. Kwa mfano, kwa muda mfupi tu uliopita katika awamu hii tumejionea wenyewe madhara haya kwenye korosho, sukari, nk.
Ushauri ni kuwa serikali uchukue tahadhari sana kabla ya kufanya maamuzi ya mambo yanayogusa watu na jamii kwa ujumla. Madhara ya haya mambo, ni kulipishwa madeni tunayokopa hasa hasa pale ambapo hizo projects hazitakuwa zinaleta faida tunazotarajia. Wao watadai pesa zao, tuwe tunapata faida ama hasara haitawahusu hawa wadeni wetu watakaokuwa wametukalia kooni.
Niishie hapa.
Tuletee latest tuzione.
Kwa hiyo hapo ndio umejibu hoja kwa uwezo wako wote.Acha us***e wewe. Hamna unachokijua. Piga kimya utakuja kuf***a mchana kweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo ndio umejibu hoja kwa uwezo wako wote.