Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,478
- 7,458
Bila shaka hujui maana ya Demokrasia. Demokrasia kama maana halisi ya demokrasia haina mipaka. Inatakiwa ifuatwe na itekelezwe kwa maana kamili ya demokrasia.Mimi sifahamu sana sheria .... Demokrasia ni sawa lakini lazima iwe na mipaka natamani kujua ni sheria ipi ambayo imevunjwa na raisi kinyume na katiba ?
Nyie watanzania mbona mna uelewa mdogo hivyo kwa mambo mepesi? Demokrasia gani hiyo inayotekelezwa kiasi ya kwamba hadi mwaka 2019 bado mtu anaona fahari kusema mgombea wa chama x ameshindwa kujaza fomu kwa usahihi hivyo mgombea wa chama y amepita bila kupingwa! Demokrasia gani hiyo uionayo wewe?