Badala ya hawa wanaosema kuna ufisadi kuuonyesha uko wapi, wanachukua an abstract from the report, with no or little information to support what they claim has happened. Natural justice requires more than mere words. Ndio maana hapo nyuma, kwenye hizi hizi siasa zetu, kuna potential candidate wa uraisi tuliaminishwa ni fisadi mkubwa. Hakuna aliyeleta ushahidi wowote mpaka Leo zaidi ya maneno maneno.
Tuvuke kwenye hii level ya stories. Twende kwenye level nyingine ya kufanya kazi kweli kweli kwenye yale tunayoyaamini. Nchi hii tumejaa story tellers tu
Ila wasio upande wenu wako ndani mwaka wa Tatu kwa tuhuma zisizothibitika,sembuse report. Report si query ni taarifa sahihi iliyobaini wizi.