Tanzania’s former Tourism Minister, Ezekiel Maige ordered to pay CRDB bank Sh184.6 million

zile biashara zake za malori zilizokuwa zinamuingizia pesa maradufu zimeishia wapi, wakati ule anatuhumiwa kula rushwa alidai ana biashara ya malori inayomuingizia pesa nyingi
 
Umejuaje kwamba yeye ni masikini mkuu amekuambia? Anaweza kuwa anaichukua mikopo lakini yuko vzr financially. Halafu pia, yeye kuichukua mikopo ndiyo ulimwengu wake huo ndicho anachokifahamu hakuna sbb ya kumshambulia kwani hawezi kuwa zaidi ya anachokifahamu period.
Hivi unajua kusoma kilichoandikwa na kukielewa?
Maandishi yako hapa yanaonyesha kwamba hata kama unajua kusoma lakini huna uwezo wa kuelewa unachokisoma.
 
Hivi unajua kusoma kilichoandikwa na kukielewa?
Maandishi yako hapa yanaonyesha kwamba hata kama unajua kusoma lakini huna uwezo wa kuelewa unachokisoma.
Wewe waandika.

Nikusaidie kdg hakuna neno la kiswahili 'kuonyesha' neno sahihi ni 'kuonesha' bila shaka umeona tofauti kati ya maneno hayo mawili..
 
Wewe waandika.

Nikusaidie kdg hakuna neno la kiswahili 'kuonyesha' neno sahihi ni 'kuonesha' bila shaka umeona tofauti kati ya maneno hayo mawili..
EeenHeee, hili nalo unataka tulijadili?
Unayo kamusi ya kiswahili?
Hata kama wewe ni mzanzibari, bado haifanyi hilo neno "kuonyesha" lisiwepo katika lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom