Kuna sheria yoyote ya nchi kuhusu pwani zetu? Nimesoma makala ya cynthia Stacey, Atatushangaa watanzania,
Hivi inakuwaje tunaona fahari kujenga supermarket pwani?
mimi nashangaa sana. Ina maana bado tunadhani majengo mazuri ndio fahari pekee ya mji? Zaidi ya hapo mji haujaendelezwa?
Kwa kifupi siungi mkono kuendelezwa kwa pwani ya eneo la bandari ya Dar es Salaam, kwa u jenzi, hata kama sasa wanakaa vibaka.
bora itafutwe namna nyingine.
Au basi itengwe eneo ambalo mandhari si hoja, bali pesa.
Ila tukubaliane kuwa maeneo mengine yasiguswe na majengo marefu kabisa.
Hivi hawa watu wenye vibali vyakujenga huko wamevunja sheria au wanavyo vinavyowaruhusu wavunje sheria?