Luoman
Member
- Jul 2, 2020
- 20
- 44
Hatuna moja tu zipo zaid ya 20 tz nzima mpaka kufikia 2022 zitakuwa zimeisha zote halafu kwenye masoko tunayo mengi sana tena ni za hali ya juu kabisa hapa east africa hazipo labda mtatufananisha na south Africa or EgyptRobert Alai anasema ukweli, omba omba wenu wamejaa Kila Kona ya Kenya. Waafrika wengine wakitorokea Ulaya wenu wanatorokea Kenya(Ulaya ya Watanzania).
Hio Dodoma Station bado haitoshi wakulima Market yetu. Mnajaribu mtafika tu!
View attachment 1496430