Tanzanians, show us your roads

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
I have been following some threads here and I always wonder why Tz people say they have better infrastructures than Kenya especially roads. So today I have decided to open a thread comparing roads from both sides. I would like to urge our neighbours to post the pictures of videos of roads so that we can decide which part is more developed. So here I go,

am waiting too ...they have pics of suffering Kenyans, but not progress in their nation
 
Tanzania ile moja nayoijua au nyingine, leo kwanza pale Jangwani hapapitiki jamaa kwao kamvua kakinyesha kadogo wanafunga barabara kubwa ya kwenda mikoani, hili tatizo limekua siku nyingi hawalitatui kero tu na kuja kutunisha misuli dhidi ya Kenya. Watanzania mnafaa kuiga Wakenya kwa hili la barabara, kwanza hapo Jangwani wekeni daraja (overpass) itoke pale Usalama na kushukia Fire, kama hii hapaa tuliyojenga Nairobi

globe-roundabout-1-now.jpg

Hebu ona hii video wanavyoteseka

Hii thread wanapita kimya kimya hueziwaona
 
Redhill Road. Will be one of the most beautiful roads after completion.

Tz is 10yrs behind Kenya in road infrastructure, huwezi kuwaona hapa , wataweka tu kibabara cha Dar na wapotee
 
Back
Top Bottom