Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,214
Wakuu wana-JF,
katika pitapita zangu katika tovuti kadhaa niliwahii kukutana na picha aina za bongo zikiwemo
kama hizi hapa chini.Kweli nami nikakubali Bongo is a paradise in waiting.Changamoto ni kwamba we need to do a very aggressive
marketing campaign il'mradi kuwafikia watani wetu wa jadi in tourism. The raw material is there in terms of huge game/wildlife numbers na mandhari.Lets brainstorm on this subject and see whats up.Naomba michango yenu.
Kwa picha zaidi bonyeza hapa... EAY