'Tanzanian women footballers look like men and unsuitable for marriage', says Samia Suluhu.

Sio maneno yangu, ni ya Rais Samia Suluhu.

--
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come under fire for remarks about women footballers having "flat chests" and suggesting they would not be attractive candidates for marriage.

Hassan made the comments at a ceremony on Sunday to celebrate the victory of a national men's team in a regional football championship, where ironically she also called for better funding for women's sports.

"For those who have flat chests, you might think they are men and not women," she said at Sunday's event.

"And if you look at their faces you might wonder... because if you want to marry, you want someone who is attractive, a lady who has the qualities that you want."

She added that for the women footballers "those qualities have disappeared".

Hassan, who took office in March after the sudden death of her predecessor John Magafuli, is the only current serving female head of state in Africa alongside Ethiopia's President Sahle-Work Zewde, whose role is mainly ceremonial.

"Today they are making us proud as a nation when they bring trophies to the country but if you look at their lives in the future, when the legs are tired from playing, when they don't have the health to play, what life will they be living?" she said.

"The life of marriage is like a dream to them. Because even if one of you here takes them home as your wife, your mother will ask if they are a woman or a fellow man."

Hassan's comments were widely derided online.

"The comment by president @SuluhuSamia on women footballers is a humiliation to all women," said Catherine Ruge, the head of the women's wing of the opposition Chadema party and a former MP. "All women deserve respect."

Maria Sarungi, the founder of civil society group Change Tanzania, echoed that view.

"So all those cheering a female presidency...@SuluhuSamia is denigrating female football players for having 'flat chests' and thus lacking attractive features necessary to get married. You must be proud @AWLNetwork," she tweeted, referring to the African Women Leaders Network.

Source: Outcry over Samia Suluhu's 'flat-chested' women footballers remark
Kkkkkk! Ina maana wote wanafanana kama wapinga ndondi na baadhi ya wanawake wa kikurya?
 
Kiswahili jamani duuuuu...... SSH akumanisha hayo mnasema. Maisha baada ya mpira yatakuaje? Na naumbile yao. Je? Wanaume watawapenda kwenye ndoa? Basi serekali au viongozi waangalie Maisha ya wachezaji hao wakati wa kustaafu kucheza. Hasa kwa wale TomBoy's
 
SSH ni mwanamke, hawezi kuengea kwa niaba ya wanaume kwamba eti hawataolewa kwasababu ya maumbile au kukaa kama tomboy... Mimi binafsi nishawahi kuona wanaume sura mbaya wanakaa vibaya wanafwata demu mrembo! Nikifikiri hakuna vile watakubalika, baada ya mda Unaona jamaa anaondoka na demu, wiki moja baadae jambaa bado wako pamoja.... Mwishowe nikakubali kwamba vile mwanamme anavyoona wanaume wenzao ni tofauti na vile wanawake hutuona sisi... Kila mtu ana type yake... Kwahivyo SSH anavyowaona hao wanawake sio vile Kila mwanamme anavyowaona... Utakuta Kuna wanaume kibao ambao wameangukia hao wachezaji na wakipewa nafasi ya kuoa watashukuru Mungu kwa kuishi nyumba moja na kiumbe kilichoumbwa kikaumbika!
 
Eti kwamba wanawake wote ambao wameolewa Tz wana vifua 'saa sita' na nyuma wamejazia kweli kweli. :D What happened to 'values', kama uchapakazi, uaminifu, uthubutu n.k, ambazo hao wanasoka wa kike wanathibitisha kwamba wanazo?

Alafu huyo ni rais, tena mwanamke, ambaye anatoa kauli tata kama hiyo. Kisha baadhi ya raia wake, wanaume kwa wanawake, wanaiunga mkono kauli hiyo. :D Majirani bado wana safari ndefu sana.
Wanaounga mkono wanaitwa MATAGA Kama Hamza
 
It is a disgrace to have such an empty bucket leading the country. We need to have a system which sieves such rubbish and makes sure that they do not get to the top. This thing of favouring Zanzibaris to ensure "equality" is creating a disgrace to the nation.
CCM leadership is a disgrace.See what happened two days ago near French embassy.The guy Mr Hamza is CCM popular cadre,a comrade therefore as they refer to themselves.Ask yourself what was the issue between him and police officers? They all share common interest ,CCM youth wing and the Tan - police.
 
SSH ni mwanamke, hawezi kuengea kwa niaba ya wanaume kwamba eti hawataolewa kwasababu ya maumbile au kukaa kama tomboy... Mimi binafsi nishawahi kuona wanaume sura mbaya wanakaa vibaya wanafwata demu mrembo! Nikifikiri hakuna vile watakubalika, baada ya mda Unaona jamaa anaondoka na demu, wiki moja baadae jambaa bado wako pamoja.... Mwishowe nikakubali kwamba vile mwanamme anavyoona wanaume wenzao ni tofauti na vile wanawake hutuona sisi... Kila mtu ana type yake... Kwahivyo SSH anavyowaona hao wanawake sio vile Kila mwanamme anavyowaona... Utakuta Kuna wanaume kibao ambao wameangukia hao wachezaji na wakipewa nafasi ya kuoa watashukuru Mungu kwa kuishi nyumba moja na kiumbe kilichoumbwa kikaumbika!
Daaa..... binadamu. SSH ni bibi, anaweza akawa kungwi. Anajua, wavulana na wasichana.
 
Niwie radhi basi jombaa, nilipotaja uthubutu nilikuwa nawaza kuhusu wanawake wa Kenya. Yaani super women ambao huwa hawawazi kuhusu limits. Kama hizo ambazo zipo tu kwenye hilo boksi tupu, ambalo unaliita kichwa chako.

Nyie endeleeni kuwaponda wanaspoti wenu wa kike, kisa vifua vyao, badala ya kuwauliza kuhusu vikombe, ushindi na masuala mengine ya sampuli hiyo. :D Wenzao Harambee Starlets ndio mabingwa kwenye soka ukanda huu.
2221952_cap.jpg
Tena wana hadi timu ya raga, Kenya Lionesses, ambao ndio mabingwa wa raga7s BARANI Afrika.
Lionesses.jpg
Malkia Strikers(mpira wa wavu) nao ndio waliiwakilisha bara la Afrika kwenye Olimpiki hivi majuzi kule Tokyo. Nadhani kufikia hapo nimekuthibitishia kwamba sikutaja uthubutu kimakosa.
Shukran.

Hivi Kenya kwani kuna wanawake wenye sifa zozote za urembo? Let's be honest, hakuna wanawake Kenya warembo hata kidogo. Wanawake wenu wagumu, weusi kuliko wauza mkaa. Kwa suala la wanawake, Kenya mfunge midomo yenu.

Kenyan genetically hamuwezi kuwa na warembo milele, huyu ndio mrembo namba one Kenya, imagine..!! ❌❌❌🔴
Lupita_Nyong'o_by_Gage_Skidmore.jpg
 
Eti kwamba wanawake wote ambao wameolewa Tz wana vifua 'saa sita' na nyuma wamejazia kweli kweli. :D What happened to 'values', kama uchapakazi, uaminifu, uthubutu n.k, ambazo hao wanasoka wa kike wanathibitisha kwamba wanazo?

Alafu huyo ni rais, tena mwanamke, ambaye anatoa kauli tata kama hiyo. Kisha baadhi ya raia wake, wanaume kwa wanawake, wanaiunga mkono kauli hiyo. :D Majirani bado wana safari ndefu sana.
Mkuu shida ni pale yeye mwenyewe amejazia mbele tu halafu nyuma ni samsung smart
 
Ila kenya kuna wanawake wabaya kichizi sio poa yaani ipo kifente fente mitandamu ya hovyo na wakijua we ni mtz unawala kinoma yani wanajirahisisha hao dadekii sio poa yani
 
Hajakosea!
Mpira wa miguu ni kwa ajili ya Wanaume!
Binafsi nachukia wanawake kucheza Mpira wa miguu.
 
Hivi Kenya kwani kuna wanawake wenye sifa zozote za urembo? Let's be honest, hakuna wanawake Kenya warembo hata kidogo. Wanawake wenu wagumu, weusi kuliko wauza mkaa. Kwa suala la wanawake, Kenya mfunge midomo yenu.

Kenyan genetically hamuwezi kuwa na warembo milele, huyu ndio mrembo namba one Kenya, imagine..!!
View attachment 1913990
Mabondia kwa wingi. Wanawake wanamaguvu kama vifaru. Kwa mfano huyu hapa juu
 
Back
Top Bottom