Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Wazungu sio kama waswahili, as long as mke anampenda, na anamhudumia, hawaingilii hobi au vitu mke anavyovipenda. Second Ukimwacha Mwanamke mwenye watoto wadogo US, seriali inavuta percentage fulani kwenye mshahara au mapato yaho straight na Kumpa huyo mama mpaka mtoto agikie miaka 21.

Na huchomoki hapo labda uthibitishe huyo mama ni Kichaa, mtumia madawa au analeta hatari kwa mtoto/watoto. Hivyo kuachwa msidhani ndio Kalost maisha. Na ukiwa na nyumba na Watoto na Mke ukamwacha, Unasepa wewe unawaachia nyumba Period! Wanawake wanalindwa hasa US na Rightfully so!
Mkuu umenena. US usimguse mke au watoto utaenda Segerea.
 
Mkuu Numbisa hiyo Segerea ni kiwakilishi cha lupango popote pale. Dikywa na maana US kuna lupango inaitwa Segerea.
 
Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
aca00697379c3d7fbe8bcba301cfb5f3.jpg
It's another page of her life. She need to be calm,apologize to her husband, her friends and her INLAWS as well.Other wise,it is high time for her to regret
 
Kumbe account zake zipo hacked na kufutwa naona kafungua account mpya akilalamika bila gazeti(caption fupi fupi za uoga)
 
Mwanamme wake kashtuka. ..eti kaanza shule na anaishi kwa wazazi wake. ..sasa bills nani atalipa? Itabidi ajiunge na well fares. . $200 kwa wiki. ..na pia umekosea miaka ya mtoto mpaka afikishe 18 sio 21. 18 ni adult. ..21 ndio anarhusiwa kunywa POMBE. SHERIA AMBAZO ZIMEWEKWA katika nchi TUSIZI ABUSE. ..HIVI HIVI MTU ALIEONEWA MOLA ANAMPA MBINU NZURI ZA KUCHOMOKA
Sio kweli Us Kuna Umri wa kisheria wa Watoto, Miaka 18 ni umri wa kuwajibika, 21 Ni umri kamili wa utegemezi, Ukiwa chini ya miaka 21 bado una haki ya kuwa chini ya ulezi wa mzazi na anawajibika some how, baada ya miaka 21 hawajibiki kwa lolote na hata ukitaka kuadapt mtoto unaruhusiwa, lakini huruhusiwi kuadopt mtoto ukiwa na umri chini ya 21.
 
Kumbe account zake zipo hacked na kufutwa naona kafungua account mpya akilalamika bila gazeti(caption fupi fupi za uoga)
Mange ana page mbili zinazofahamika ni za kwake moja kafanya kuidisable na nyingine iko wazi sasa hivi kuna page nyingi zinafunguliwa kwa jina lake ili kutafuta follows!
 
EHH. .HAYANIHUSU TENA. ..WATAJIJU
 
Kumbe account zake zipo hacked na kufutwa naona kafungua account mpya akilalamika bila gazeti(caption fupi fupi za uoga)
mkuu unaweza kuta siyo yeye maana watu hawakawii kutake advantage ya kupata followers...
 
Hana page mbili ana fekero za kutosha. Hizo mbili ndio kaziweka wazi.
Mange ana page mbili zinazofahamika ni za kwake moja kafanya kuidisable na nyingine iko wazi sasa hivi kuna page nyingi zinafunguliwa kwa jina lake ili kutafuta follows!
 
Inasemekana kakamwatwa sasa sijui kweli au tzshaderoom ana hisi hivyo?? Let's wait and see
 
Back
Top Bottom