Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mama Mzungu, Jun 25, 2016.

 1. Mama Mzungu

  Mama Mzungu Member

  #1
  Jun 25, 2016
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 22
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 15
  Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
  [​IMG]

   
 2. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #361
  Dec 9, 2016
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 3,597
  Likes Received: 1,643
  Trophy Points: 280
  NETWORK YA BIBIE IMEKUBALI MDA MREFU SANA . ..
   
 3. yokohama yokozuna

  yokohama yokozuna JF-Expert Member

  #362
  Dec 10, 2016
  Joined: Nov 22, 2016
  Messages: 209
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Subiri akanyage ardhi ya jk airport.
   
 4. Mokili Fumulauhi

  Mokili Fumulauhi JF-Expert Member

  #363
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 813
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 180
  Wazungu sio kama waswahili, as long as mke anampenda, na anamhudumia, hawaingilii hobi au vitu mke anavyovipenda. Second Ukimwacha Mwanamke mwenye watoto wadogo US, seriali inavuta percentage fulani kwenye mshahara au mapato yaho straight na Kumpa huyo mama mpaka mtoto agikie miaka 21.

  Na huchomoki hapo labda uthibitishe huyo mama ni Kichaa, mtumia madawa au analeta hatari kwa mtoto/watoto. Hivyo kuachwa msidhani ndio Kalost maisha. Na ukiwa na nyumba na Watoto na Mke ukamwacha, Unasepa wewe unawaachia nyumba Period! Wanawake wanalindwa hasa US na Rightfully so!
   
 5. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #364
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 3,597
  Likes Received: 1,643
  Trophy Points: 280
  Mwanamme wake kashtuka. ..eti kaanza shule na anaishi kwa wazazi wake. ..sasa bills nani atalipa? Itabidi ajiunge na well fares. . $200 kwa wiki. ..na pia umekosea miaka ya mtoto mpaka afikishe 18 sio 21. 18 ni adult. ..21 ndio anarhusiwa kunywa POMBE. SHERIA AMBAZO ZIMEWEKWA katika nchi TUSIZI ABUSE. ..HIVI HIVI MTU ALIEONEWA MOLA ANAMPA MBINU NZURI ZA KUCHOMOKA
   
 6. g

  gwa myetu JF-Expert Member

  #365
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 18, 2014
  Messages: 2,096
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280

  Sijakuelewa unamtetea Mange au mme wake?
   
 7. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #366
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 3,597
  Likes Received: 1,643
  Trophy Points: 280
  It takes two to tangle. ...
   
 8. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #367
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  bibie kapotea huko insta hapatikani tena
   
 9. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #368
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Itakua wameHACK Ac yake
   
 10. g

  gwa myetu JF-Expert Member

  #369
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 18, 2014
  Messages: 2,096
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  bring back our Mange
   
 11. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #370
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 638
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Chezea vichambo vya faizally,bibie kaenda kujipanga upya.
   
 12. DEMBA

  DEMBA JF-Expert Member

  #371
  Jan 11, 2017
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,349
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  ana account nyingine ile ya siasazatanzania nako hola kama angekuwa amehakiwa angeandika kule......sijui kapatwa na nini jamani
   
 13. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #372
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Ila me Mange simwamini kabisa itakua kakaa kimya anatuchora tu.Ila am 70% sure kwamba she's alright.
   
 14. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #373
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Sasa faiza pale alikua anachamba nini zaid ya matusi tu tena kumtukana marehemu.
   
 15. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #374
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
 16. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #375
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 638
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Mkuki kwa nguruwe eti ee kwan mange hakumtukana marehemu pale?
   
 17. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #376
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Mkuki kwa nguruwe hyo vipi sasa,maana Mange katoa mabomu yote cjui ya kuzika wachina, sijui wachat ila Faiza alitoa nn cha kumdhalilisha Mange zaid ya story ya babake ambay ni zilipendwa tushaisikiliza mpk imetuchosha masikion.
   
 18. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #377
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 638
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Kama ni zilipendwa mbona ilimuuma sana mange(hatavwewe ilikuuma ndio maana unapanic hapa) aache upuuzi wa kutukania wenzie marehem wakat anajua ya kwake yapo wazi. Vipi kuhusu tu tako twa mange na faiza tupi tuzuri?[color]
   
 19. z

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #378
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 1,108
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Me inaanzaje kuniuma kwa mfano?!,kwan huyo babake mange nna undugu nae, Mange ingemuuma wakt wa Lemutuz sio leo kwa huyo changudoa wa wachati mwenye sura ngumu km anapondea kokoto.... Huyo faiza kwa matako gn pale,vitako km matonge ya ugali.
   
 20. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #379
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 638
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Hahahahaa povu lote hilo pole. Wapi faizally kiboko ya mange.
   
 21. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #380
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 638
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 180
  Hahahahaa povu lote hilo pole. Wapi faizally kiboko ya mange.
   
Loading...