Alhamdulillah Mungu anipitishie mbali na Instangram yaoHivi unamjua Mange? Kama humjui shukuru Mungu.
Mange ni mpare sio mchagaSiyo mchezo nikileta picha ya mama mlaki na matusi aliyopewa, na sisi ushamba wetu wa bara tunashangaa mchaga gani ana matusi namna hii.
Divorce ni kawaida kwa mwanamke mpumbavu.I like Mange's drama, na divorce ni kawaida now days.
Nimem miss pia.....nataka nione harakati zake sio nyuma ya keybordHivi sheria inasemaje, kwa mfano huyu mama alipata green card through her husband, sasa husband hawezi waambia immigration wai cancel, tumemmiss nyumbani
kafanyaje tena??Mange Kimambi
kafanyaje tena??
Mange Kimambi ni mke WA Mzungu, aliolewa na Lance, anakaa LA marekani upo hapo
Rita Mlaki alimkosea nini kwani hadi amtukane?Siyo mchezo nikileta picha ya mama mlaki na matusi aliyopewa, na sisi ushamba wetu wa bara tunashangaa mchaga gani ana matusi namna hii.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (bold) mbona sie wapare hatuko hivyo, katoa wapi hiyo tabia!!!!Mange ni mpare sio mchaga
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (bold) mbona sie wapare hatuko hivyo, katoa wapi hiyo tabia!!!!
Ni mpare pure!!!!uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (bold) mbona sie wapare hatuko hivyo, katoa wapi hiyo tabia!!!!
Huyu dada ananishangazaga sana wadau yaani mimi huwa simuelewi,utamkuta masaa 24 kazi yake ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii ,mda wote yupo insta na wasap alafu naambiwa ni mke wa mtu khaaa..hata mimi naamini huyu mzungu alikuwa mvumilivu kweli kweli.
wakuu huyu dada kipindi cha kampeni kama mlikuwa mnafuatilia post zake instagram ni mitandao mingine ya kijamii kwenye account zake alikuwa mstari wa mbele kuishabikia ccm na huyuhuyu ndio aliyemsema lowassa kajinyea wala si mwingine,,lakini cha kushangaza juzi kati hapa...amekigeuka chama chake gafla na kuugeukia upinzani,,,sikuizi anajifanya kupinga chama chake ,now amefikia kumponda hadi magufuli aliyekuwa akimsifia kuwa ni dikteta na juzii nilimnukuu akisema kuwa wabunge wa ccm ni majipu......vilevile wakuu huyu dada namfananisha na mwanajeshi mwoga anayejifanya kupigania haki za nchi yake wakati yeye kajificha kwenye nchi ya adui
Huwezi pigania haki za nchi yako wakati unajijua umejificha kwenye nchi za watu
Huyu dada nna wasiwasi nae atakuwa anakula bangi au hana akili timamu