Tanzanian opposition party(CHADEMA) leader beaten to death

KichwaNgumu254

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
1,284
1,152
Tanzanian opposition Chadema party leader beaten to death

A local leader of the main Tanzanian opposition party, Chadema, has been found beaten to death after men bundled him into a car, party chairman Freeman Mbowe said Wednesday.

Daniel John was responsible for the Chadema party in the Hananasif district of the economic capital Dar es Salaam, where a heated local election campaign is under way.

"Daniel John was kidnapped on Monday in the street by men in a car," Freeman Mbowe told AFP, the leader of the opposition in parliament.

A friend of John, who was snatched at the same time but who survived the attack after being left for dead, was able to describe what then happened.

"They were beaten and tortured, and the torturers were asking why they were campaigning for Chadema's candidate," Mbowe said.

Related Content
MACHETE WOUNDS

John's body was later taken to a hospital, with machete wounds to the head, said Mbowe, who accused supporters of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party of being behind the attack.

"The party in power wants to get everything by force," said Mbowe.

In September 2017, senior opposition lawmaker Tundu Lissu was shot several times at his home in the capital Dodoma.

He was rushed to the Kenyan capital Nairobi where he was in intensive care for several months before being transferred to a hospital in Brussels.

Chadema accuses the ruling party of being behind that attack, claims rejected by the government.

Tanzanian President John Pombe Magufuli, who came to power in 2015 as a corruption-fighting "man of the people", has been increasingly criticised over his authoritarian leadership style, with a clampdown on the opposition, journalists and artists.


Tanzanian Chadema politician 'murdered'
 
Bad image, our security forces should wake up now and practice professionally not politically
 
Bi. Paulina, mke wa marehemu amempoteza mumewe Daniel John, aliyekuwa Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif, aliyeuawa na mwili wake kukutwa umetupwa kwenye fukwe za Coco.

Leo ni Jumatano ya Majivu kwa wale Wakristo, ikiwa ni ishara ya kuanza kufunga Kwaresma tutumie fursa hiyo pia kumuombea Daniel John na familia yake yote, Ikiwa tunaanza Kwaresma lakini wapo watu wasio na hofu ya Mungu hata kidogo kwa sababu ya kugombea vitu ambavyo hata tukifa hatuendi navyo huko kwenye makao ya milele,unabaki peke yako mbele za Mungu wako na utayajibu haya na waliokutuma kufanya unyama huo kipindi ukiwa hai hawatakuwepo nawewe.

Sasa Bi. Paulina mumewe ameuawa, tunawaambia wauaji machozi,uzuni na maumivu wanayomsababishia binti huyu mdogo kabisa hayatawaacha salama, huwezi kuua watu kwa sababu zako unazozijua ukamwaga damu ukaumiza watu ukabaki salama.

Kwa kipindi hiki kigumu sana kwa Bi. Paulina Vitalis kwa pamoja tukumbuke kumuombea mama huyu Mungu amtie nguvu na ujasiri kwa kuondokewa na mume wake kwa kuuawa kikatili na watu wenye roho za kinyama, huu tunaita ni unyama, inatia uchungu na kuhuzunisha sana.
 
Kupigwa hadi kufa? Dah, R.I.P mwendazake. Bahati yenu, hakuna hata siku moja nimesikia mtu yeyote ule akituambia wakenya tuige demokrasia ya Tz, kama sivyo, mngeona nikitiririkwa na povu sana hapa!
 
Awamu hii ya 5 ya Serikali ya CCM imeleta mambo ya ajabu kabisa..

Mambo ya ovyo kabisa wanafanyiwa wapinzani; kupiga risasi, kuteka raia, kutupa miili baharini, haya sasa na kuuwa kabisa..

Vyombo vya habari hasa vya nje viyaanike haya matukio maana vyombo vya habari vya ndani Tanzania vyote vimefungwa mdomo hakuna wa kutangaza haya matukio mabaya..

Halafu mtu anaomba aombewe..

So sad.
 
Back
Top Bottom