'Tanzanian of Asian origin' ndio kabila gani hilo?

Wanakijiji!
Hii thread imetoka wapi? Huko mnakotupeleka ndiko siko na mimi simo ''bora mimi sijasema'' Mwanahaki nakuomba acha porojo! Ubaguzi hapa TANZANIA upo tena ni wa ajabu? Wachache kuwabagua wengi na bado wanapeta. Hakuna watu wabaguzi duniani kama wahindi(Indians). Ukiachilia mbali wale waliolazimishwa kuolewa na wamatumbi huko Unguja mpaka wakaamua kumwua KARUME miaka 35 iliyopita!

Hakuna aliyeolewa na kama yupo ujue ni koko na jamii imemtenga. He/she is an outright outcast and of the lowest cast. Kama wenyewe kwa wenyewe wanabaguana kichizi sembuse nyie Nyani/Kima!! Kama kuna mwenye kubisha ametumwa kama kawaida kwa kupewa Chauro na mavi ya watoto.

Kule Uganda wanajua alichowafanyIa yule General/Field Marshal Id Amin Dada 1972 . Mpaka leo hii imewaletea Ugandans heshima na utu wao walirudishiwa heshima kwa kwenda mbele!!!

They have corrupted CCM period!!!! Haiwezekani mtu akawa na uraia wa India,Uingereza, Canada na Tanzania and then mnaleta za kuleta.

Nimekua na kusoma na wahindi mpaka Europe na USA HAWA watu wanastahili aliyowafanyia Idd Amin. 1967 Nyerere kataifisha mali zao Ruksa kawarudishia matatizo yameanzia hapo!!!! Maumivu ya kichwa yanaanza taaratibu!!!! Kufanya kosa si kosa!!! Kosa kurudia kosa!!

These bastards are doing capital flight mchana kweupee!!! kwa kwenda mbele BOT under Ben Ndullu and the corrupted CCM - bandits are just smiling na nyie mnasema 2004 Employment and Labour Relations Act inakataza ubaguzi!!!!KILA SIKU IN THE PAPERS KWENYE MATANGAZO YA AJIRA WANATAJA UMRI NA UZOEFU HUO SIO UBAGUZI NA SHERIA HIYO HAYO SI IMEKATAZA ehhee!!

Go to hell!! Because your father told me a lie in the month of july with a single pie!!!!!! Wajameni !!!!!

Mkuu huogopi kushambuliwa na 'wazalendo' kwamba wewe ndiye mbaguzi??
Siumewaona 'wazalendo' wanavyokuwa wakali ukiwanyooshea kidole hawa wahindi watanzania.
Wamatumbi wakibaguliwa inaonekana ni haki yao lakini wahindi wakinyooshewa kidole kwamba ni wabaguzi, wanaowanyooshea kidole wanaambiwa wabaguzi!!! kaaazi kweli kweli.
 
Anzisheni movement tuwabague Wahindi jamani!Wakati umefika na sisi watukubali kama ni watu.wakati umefika wa kuoa wanawake wa Kihindi bwana...siyo kuwatamani tu!

Pengine tukiwaoa tunaweza kuwa tumekamilika kama binadamu maana kwa sasa kama wanaendelea kutukatalia kuchanganyana nao tunakuwa wanyonge.!
 
nachangia kwenye hiki kipengere cha kujaza fomu.Unajua mkuu, kwa siku hizi kuna kitu kinaangaliwa nacho ni diversity - kujua race, sex, religion, hata umri na kabila.Hii yote ni kujua ni watu wa aina gani wanatumia huduma husika na kama kuna haja ya kutumia mbinu za ziada kujua kwanini watu fulani tu ndiyo wanatumia na je nini kifanyike kuhakikisha wengine nao wanatumia.
Kuhusu hayo mengine ya wahindi kwa kweli sina comment maana nimeona hata nchi nyingine hasa za Uarabuni wakitaka watu wa dini au kabila/descendancy fulani.Labda wana sababu zao.Hata mimi kwa shughuli zangu naweza kuhitaji mtu mwenye sifa fulani ambazo ukiona utaita za kibaguzi.

Haya mambo ya kutaka kujua rangi ya mtu ndio yanasababisha hawa wahindi mnaowatetea waendelee kutufanya sisi tuwe raia daraja la chini baada ya wao kujiweka daraja ya juu.

Haya mambo unayashabikia kwa kuwa hayajakukuta. Binafsi kwa kuwa ilishanitokea ninajua ni kwa kiasi gani hawa wahindi wanatubagua.

Mimi ilifikia mahala nikagombana na daktari pale aga khan. Wakati sisi wamatumbi tumepanga foleni kwenye mabenchi pale nje, wadosi wao wanaingia tu kama vile hakuna mtu anayehitaji huduma. Mimi nilikuwa nimekaa pale kama saa nzima hivi mke wangu alikuwa anakaribia kujifungua lakini wao wako bize na mdosi, 'nikamvaa' daktari wa zamu, ulikuwa usiku muda wa saa nne hivi, yaani hata sipendi kukumbuka jinsi ilivyokuwa lakini baada ya mzozo mkali pale maternity ward hatimaye mke wangu alihudumiwa vizuri na akajifungua chini ya uangalizi wa hali ya juu. Tena bahati nzuri au mbaya daktari alikuwa mmatumbi mwenzangu, nilimwambia wazi wazi kwamba sijaipenda kabisa tabia ya kuwababikia wahindi na kutuacha sisi wamatumbi, wakati huo wahindi walikuwa wananishuhudia kwa macho yao. Kwa sababu hata sie tunalipa kama wanavyolipa wao.

Kwahiyo mama wa substanc habari ndiyo hiyo, wadosi wanatubagua sana, mi nashindwa kuwashangaa nyie 'wazalendo' mnavyojigonga kwao.
 
Last edited:
Wanakijiji!
Hii thread imetoka wapi? Huko mnakotupeleka ndiko siko na mimi simo ''bora mimi sijasema'' Mwanahaki nakuomba acha porojo! Ubaguzi hapa TANZANIA upo tena ni wa ajabu? Wachache kuwabagua wengi na bado wanapeta. Hakuna watu wabaguzi duniani kama wahindi(Indians). Ukiachilia mbali wale waliolazimishwa kuolewa na wamatumbi huko Unguja mpaka wakaamua kumwua KARUME miaka 35 iliyopita!

Hakuna mtu anayebisha kuwa ubaguzi Tanzania haupo. Ninachobisha ni kudai kuwa hii ni sole province ya wahindi. Kuna wahindi wabaguzi kama vile ambavyo kuna wamatumbi wabaguzi, wazungu wabaguzi n.k. Kuwepo kwa wabaguzi katika kikundi fulani hakumaanishi wote ni wabaguzi. Ni mawazo kama haya ya kuwahukumu wote kwa matatizo ya baadhi yao ( hata kama ni wengi) ndiko kunakochangia ubaguzi. Hao mnaowashutumu nao wanatuhukumu sisi wote kwa matendo ya wachache baina yetu. Wezi, wavivu katika kujiendeleza,hatuaminiki n.k. Haya yote yana ukweli ndani yao lakini hayamaanishi kuwa ndiyo hulka ya wamatumbi wote!

Mtu yeyote aliyeelimika hawezi kusema kuwa hakuna wabaguzi kama wahindi duniani! Kwa wale walioishi na wachina wanaweza nao kudai hivi kama vile wale walioishi katika sehemu mbalimbali za ulaya na marekani kaskazini, kati na kusini. Hata vitendo vya baadhi ya watu wa Australia dhidi ya aboriginals vinaweza kujenga hisia hii. Kwani wanao/waliowachinja wenzao kwa kutofautiana kabila au rangi Afrika ( Rwanda, DRC, Sudan, Liberia, Sierra Leone, Kenya, Togo,Zimbabwe n.k.) nao ni wahindi? Yaani tunawaona hawa ni afadhali kwa sababu ya rangi zao kuliko huyo asiyetaka kuolewa na sisi? Mbona kuna watu kutoka baadhi ya makabila yetu hawataki watu waoe au waolewe nje ya kabila lao? Baadhi ya wahindi kufanya hivyo imekuwa nongwa?

Chuki zako , naam, zinajionyesha hapo unapopelekea kudai kuwa waliomuua Karume ni wahindi! Hauna hata aibu?


Hakuna aliyeolewa na kama yupo ujue ni koko na jamii imemtenga. He/she is an outright outcast and of the lowest cast. Kama wenyewe kwa wenyewe wanabaguana kichizi sembuse nyie Nyani/Kima!! Kama kuna mwenye kubisha ametumwa kama kawaida kwa kupewa Chauro na mavi ya watoto.

Unawajua kweli Harijans hadi kudai kuwa wote walioolewa ni kutoka the lowest caste? Je wale walioamua kuoa weusi? Jamii zote zinaubaguzi baina yao. Thread ngapi zimeanzishwa humu kuhusu kile ambacho watu wadai ni ubaguzi wa baadhi ya makabila yetu dhidi ya wamatumbi wengine?

Hilo la chauro na mavi ya watoto halistahili jibu maana linaonyesha wewe ni mtu wa namna gani! Kutofautiana katika mjadala ni kawaida na hakustahili matusi.


Kule Uganda wanajua alichowafanyIa yule General/Field Marshal Id Amin Dada 1972 . Mpaka leo hii imewaletea Ugandans heshima na utu wao walirudishiwa heshima kwa kwenda mbele!!!

Heshima kwa nani? Watu kama wewe? Watu ambao mpaka leo mnamkumbatia Mugabe na kumsifia ati kwa sababu amewashikisha adabu wazungu wakati akiuharibu uchumi wa nchi yake? Leo hii watu wanakufa kwa kipindupindu Zimbabwe na bado tunamsifia Robert. Huyo Amin baada ya kuwafukuza hao wahindi na kugawana mali zao alifanya nini? Kweli tutamsamehe maovu mengi aliyowafanyia waganda wenzake kwa sababu tu aliwafungasha virago wahindi?

Kwa taarifa yako wengi wa waliofukuzwa Uganda wamepata mafaniko makubwa huko walikopokelewa wakati waliowafukuza uchumi wao ukidumaa! Imefika mahali ambapo baadhi yao wanashukuru kwa kitendo cha Idi Amin ambacho kiliwapa mwanya wa kuingia Uingereza, Canada, marekani n.k. kiulaini. Unadhani Museveni ni mjinga kwenda kuwaomba warudi na wawekeze katika nchi ya asili yao?


They have corrupted CCM period!!!! Haiwezekani mtu akawa na uraia wa India,Uingereza, Canada na Tanzania and then mnaleta za kuleta.

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa corruption CCM imeletwa na wahindi? Wakitoka wahindi, corruption itakwisha?

Mbona wengi tu wa wamatumbi wana uraia wa nchi za nje? Nao wamekuwa tatizo? Au unaamini kuwa wanaodai dual citizenship ni wahindi peke yao?

Nimekua na kusoma na wahindi mpaka Europe na USA HAWA watu wanastahili aliyowafanyia Idd Amin. 1967 Nyerere kataifisha mali zao Ruksa kawarudishia matatizo yameanzia hapo!!!! Maumivu ya kichwa yanaanza taaratibu!!!! Kufanya kosa si kosa!!! Kosa kurudia kosa!!

Kwa hiyo wewe sasa ni expert wa ubaguzi wa wahindi kwa sababu kote huko ulikosoma nao (Tanzania, Europe na USA) ni wao pekee waliokurudisha nyuma! Pathetic.

These bastards are doing capital flight mchana kweupee!!! kwa kwenda mbele BOT under Ben Ndullu and the corrupted CCM - bandits are just smiling na nyie mnasema 2004 Employment and Labour Relations Act inakataza ubaguzi!!!!KILA SIKU IN THE PAPERS KWENYE MATANGAZO YA AJIRA WANATAJA UMRI NA UZOEFU HUO SIO UBAGUZI NA SHERIA HIYO HAYO SI IMEKATAZA ehhee!!

Hao wenye vijisenti Jersey Islands nao ni wahindi? Hao walioagiza Range Rover kwa ndege nao ni wahindi? Hao waliogawa Rav nyekundu kwa binti zetu nao ni wahindi? Hao waliotujengea hizo twin towers kwa mabilioni ya hela ya wamatumbi nao ni wahindi? Hao walioidhinisha mkataba wa Richmond nao ni wahindi? Ni wahindi wangapi ambao wako katika sehemu nyeti za uongozi katika nchi yetu kiasi cha wao kuwa responsible kwa kutufikisha hapa tulipo?

Hiyo Act unayoizungumzia inahusiana nini na capital flight? Kwa mtu uliyesoma mpaka Europe na USA kudai kuwa muajiri kuweka sharti la umri na uzoefu ni ubaguzi inatisha. Kwa mtizamo huo basi hata kudai elimu nako ni ubaguzi! Hivi ulisoma wapi huko ulaya?


Go to hell!! Because your father told me a lie in the month of july with a single pie!!!!!! Wajameni !!!!!

Wakati mwingine ni busara kukwepa lugha za wenzetu!

Wamatumbi tutajikomboa pale tu tutakapoweza kujiangalia wenyewe na kukubali mapungufu yetu na kuyafanyia kazi badala ya kukimbilia kuwalaumu wengine.

Hawa tunaowalaumu ( wahindi, wachina n.k.) walikuwa masikini kuliko sisi miaka michache iliyopita. Wakati sisi tunabaki kulaumu system wao waliingalia na kuitumia kwa faida yao. Kusema kuwa mhindi, mzungu au mchina ndiyo sababu pekee kwa umasikini wetu ni kuwatukana wamatumbi wote. Kwa bahati mbaya baadhi yenu hamuoni hilo!

Amandla............
 
Last edited:
Fundi Mchundo,

Kwanza nikushukuru kwa kuichambua post yangu vizuri na kwa umakini! Naona imekupasua Bongo! Mimi sitaki kuingia kwenye malumbano na wewe as if I want to personalize the thread!

Kwanza nilitahadharisha kwamba mimi sijasema na hapo ndipo umeshindwa kunielewa! Sikutaka tu kuchambua narudia Ubaguzi upo tena mbaya na wa kutisha hata baina ya Makabila ya Tanzania! make no mistake about that!

Katika Post the subject matter ilikuwa ni wahindi na mimi nikatoa in brief about the Indians!

Sikusema Asians na nilikuwa na mantiki! Usichanganye mambo kuhusu Ubaguzi wa wazungu;Waarabu wa Sudan against weusi wa Sudan au hata kule Australia; Genocide ya Rwanda haikufanywa na wahindi! Just try to understand! Kama wewe ni Mhindi au Mmatumbi uliyetumwa I don't give a damn! Nilichobainisha ni ubaguzi wa wahindi period ! Those few cases za wahindi kuoa wamatumbi wala usizitaje kwani najua waliofanya hivyo hata Jamatini wametengwa na hata!!!! Utajaza mwenyewe. Ndoa ya CCM na Wahindi iko apparent you don't need to put on glasses. Kwa taarifa yako kama hukuelewa capital flight sijui umesoma wapi! Just to click your head uchumi wa Tanzania umevurugwa na wahindi amini usiamini!

EPA was exclusivley for Indians ila baada ya kina Ladwa kukosa wakaamua kumwaga mboga hasa baada ya wamatumbi kumegewa kidogo. Do you know why ROSTAM AZIZ took the lion share ambaye sio Mhindi yeye ni Muajemi(Not Indian or ARAB!!) YOU go and ask him !

Mkapa the then Chairman of CCM gave his full blessings tatizo alikuwa amelewa na hakuwawekea ceiling wala hakufuatilia si ilikuwa SIRI!! because he too wanted the money!!!Hapo ndipo maumivu ya kichwa yanapoanza taaratibu!!! That is how they are well connected! The indian style worked wright or wrong!

fUNDICHUNDO''' kemcho bie....kawaulize waliokutuma mbona siwaoni JWTZ;MAGEREZA na POLICE au wako usalama wa TAIFA? ndio maana hata hawafungwi eehee!!

Give me the statistics hapa Bongo wako wangapi and how many are behind the bars!!! Otherwise I am corrupted na ni Mbaguzi!!!!! Kama huna hizo takwimu which I have then close the subject huniwezi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkereme,

Mimi nakupinga na nitaandelea kukupinga kwa sababu posting yako imejaa uzandiki, unafiki na uongo unaotumwa na chuki. Unaposema wahindi unamaanisha wale wanaotoka India tu au wale wanaozungumza kihindi? Posting mama imezungumzia lugha ya gujarati. Kwa hiyo mnataka kutuambia kuwa ni wagujarati peke yao ndio wabaguzi? Wale wanaotoka Rajasthan, Andra Pradesh, Uttar Pradesh, Goa n.k. hawamo katika listi yenu ya wabaguzi?

Unadai Rostam Azizi ambae unatufahamisha kuwa siyo mhindi ndiye alichukua sehemu kubwa ya fedha za EPA halafu bado unawanyooshea kidole wahindi kwa kuhujumu nchi!

Unajichanganya. Unadai kuwa hawamo katika majeshi ya usalama halafu kuwa hawafungwi! Kwa hiyo sisi wamatumbi tuliojaa katika majesh ya usalama tunashindwa kuwafunga kwa sababu wanatubagua? Zote hizi, kutokuwepo jeshini na kutofungwa kwako wewe ni uthibitisho wa ubaguzi wao! Kwako wewe, ishara ya uzalendo ni kuingia jeshini au jela! Halafu bado unajigamba kuwa kwa mantiki hii sikuwezi.

Unasema hautaki malumbano kwa sababu hautaki kupersonalize hii ishu halafu unatumia maneno kama "I don't give a damn", unadai kuwa nimetumwa, unainsinuate kuwa mimi ni mhindi n.k. Kama ni hivi unapojadiliana kiungwana basi itakuwaje hapo utakapo"personalize"?

Kweli nakubali sikuwezi maana ni kupoteza wakati wangu kujaribu kujadiliana na mtu mwenye ufahamu hafifu kama wako! Mtu uliyejaa chuki hata unashindwa kupanga a logical defence ya msimamo wako! Labda umeenda shule lakini kwa hakika haujaelimika.

Amandla.........
 
Last edited by a moderator:
Labda ni wale ambao wana asili ya Kiasia lakini walipewa uraia wa Tanzania.
 
Sikuhizi kuna na shule kwa ajili ya wahindi tu na mabasi yao yameandikwa hivyo,kwa mihongo kadhaa waliyokaa hapa kutojichanganya kwao na wamatumbi si kwa bahati mbaya bali ni mpango mahsusi unaoratibiwa na jamii yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom