Tanzanian NATRONITE: Madini mengine pekee yanayopatikana Tanzania

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Sijui ni lini walitangaza haya madini ila nimestaajabu kuwa tz ni tajiri sana wa madini. Na hata kwenye orodha ya vito vipatikanavyo tz hili jina halipo lakini lipo sokoni . Ni nini kinaendelea?

Natronite represents a new variety of quartz in the gem world. This fascinating gemstone occurs in light to deep reddish tones and displays a gentle glittering effect, known as aventurescence.

This natural cherry quartz only comes from Tanzania.
View attachment 1501246View attachment 1501245
 
Mungu alitupendelea sana, bahati mbaya tumemuangusha sana, tuna kila kitu, lakini tumezungukwa na umasikini kila upande, na jamaa mwaka huu tena wataiba kura waendelee kutufubaza kwa umasikini, hawachoki.

Na bado, inawezekana kabisa kuna mengine tena huko chini bado hawajayagundua, bahati mbaya yatakuja kugunduliwa, nayo yatachimbwa yataisha, tutaendelea kubaki hivi hivi na umasikini wetu, mpaka CCM watakapopotea nchi hii..I mean watokomezwe kabisa.
 
Hata tupate mafuta kushinda nchi zote duniani na pamoja na hayo madini ,ardhi, bahari tumezungukwa na maziwa na mito mbunge za wanyama yaaani kila kitu na tumewashindanchi nyingi za Europe lakini tatizo ni Sisi wenyewe hatujiamini
 
Mungu alitupendelea sana, bahati mbaya tumemuangusha sana, tuna kila kitu, lakini tumezungukwa na umasikini kila upande, na jamaa mwaka huu tena wataiba kura waendelee kutufubaza kwa umasikini, hawachoki.

Na bado, inawezekana kabisa kuna mengine tena huko chini bado hawajayagundua, bahati mbaya yatakuja kugunduliwa, nayo yatachimbwa yataisha, tutaendelea kubaki hivi hivi na umasikini wetu, mpaka CCM watakapopotea nchi hii..I mean watokomezwe kabisa.[/QUO

Wewe naye ni mwizi tu kama uwaitavyo wezio nini sahihi kwako waje ao mataira o
 
Kalibu asilimia 90℅ ya wa Tanzania hawayajui madini.wakati ilibidi tufundishwe tukiwa toka shule ya msingi,kinyume chake mzungu ambaye kwao hakuna madini ndiyo wanaokuja kutuelekeza hili ni dini gani,na Quality yake ni aina gani na thamani yake ni kiasi gani
Ni aibu sana kwa kweli
 
Sehemu gani ya nchi yamepatikana?
Lini yamegunduliwa?
Kagundua nani?
Matumizi yake nini?
Yana thamani sawa na madini gani?

Toa taarifa kamili ueleweke badala ya nusu taarifa na kupelekea wapuuzi kuanza kuporomosha lugha za shombo humu jamvini

Tusipotoshane. Tema nondo za kujenga
 
Sehemu gani ya nchi yamepatikana?
Lini yamegunduliwa?
Kagundua nani?
Matumizi yake nini?
Yana thamani sawa na madini gani?

Toa taarifa kamili ueleweke badala ya nusu taarifa na kupelekea wapuuzi kuanza kuporomosha lugha za shombo humu jamvini!!!

Tusipotoshane!!!!Tema nondo za kujenga!!!
Sina mengi ninayojua, hata mimi nimegundua leo kuwa kuna haya madini. Yanapatikana Arusha kitu kama hicho karibu na lake natron na mlima oldonyo lengai kuhusu thamani sijajua.
 
Kalibu asilimia 90℅ ya wa Tanzania hawayajui madini.wakati ilibidi tufundishwe tukiwa toka shule ya msingi,kinyume chake mzungu ambaye kwao hakuna madini ndiyo wanaokuja kutuelekeza hili ni dini gani,na Quality yake ni aina gani na thamani yake ni kiasi gani
Upo sahihi kabisa....
 
So far Tanzanite germ stone has benefited Kenya than Tanzania, just like minerals from Congo has benefited Rwanda than Congo.
 
Kwenye hilo kabila la quartz, amethyst na citrine angalau ndizo gemstones zenye thamani, thamani hizo zingine zingine thamani yake ni ndogo
 
Mungu alitupendelea sana, bahati mbaya tumemuangusha sana, tuna kila kitu, lakini tumezungukwa na umasikini kila upande, na jamaa mwaka huu tena wataiba kura waendelee kutufubaza kwa umasikini, hawachoki.

Na bado, inawezekana kabisa kuna mengine tena huko chini bado hawajayagundua, bahati mbaya yatakuja kugunduliwa, nayo yatachimbwa yataisha, tutaendelea kubaki hivi hivi na umasikini wetu, mpaka CCM watakapopotea nchi hii..I mean watokomezwe kabisa.
Utajiri na umasikini unatokana na uwezo wa kufikiri kwa mtu husika

"Mind set" ya mtu husika ndio inayomuongoza mtu kufikia lengo lake

Hapa kwetu Mabilionea 10 wa Tanzania Kama sio Muhindi basi mwarabu, Utajiuliza Waafrika wazawa wako wapi?

Watanzania tumeongozwa na CCM tangu tupate Uhuru, Lakini utakuta Tanzania na Watanzania hawaendi mbele kimaendeleo..

Mfumo wa kufikiri wa CCM,inaonyesha wazi haufai,hichi chama hakifai kuiongoza Watanzania
 
utashangaa kenya ndio watajitanhaza kidunia kuwa yanatokea kwao na ulimwengu utawaelewa maana wanajitangaza kiupana sana tofauti na sisi tulivyokuwa waziyo kwenye kujitangaza
 
Usiasa, udini na ukabila unazidi kutudumaza kiakili... Sis kwa sisi tunabaguana badala ya kuijenga nchi yetu
 
Back
Top Bottom