zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,036
- 28,679
acha uvivu uzi ulishaletwa hadi humu jf search kongamano la kisera ACT uone full speech text ya huyo ababu Namwamba alafu uje uropoke hapa mambo usioyajuaWeka link,vinginevyo ww ni muongo.
acha uvivu uzi ulishaletwa hadi humu jf search kongamano la kisera ACT uone full speech text ya huyo ababu Namwamba alafu uje uropoke hapa mambo usioyajuaWeka link,vinginevyo ww ni muongo.
vitu visible ndio vp hivyo?? hivi jimboni kwa msigwa umefika ukahoji. wananchi wake au umekaa kwenye ofisi ya ghorofani yenye AC ndio unamjua msigwa sana kuliko wananchi waliompa madiwani 80% pamoja na kura za heshima je kma angekuwa hajafanya maendeleo angeshinda??Wewe hapo ulipo sasa na wenzako hao wote ni matunda ya kilichofanyika miaka 50, Kila kukicha kelele za cheap politics tumechoka sasa, hatuhitaji sisa sasa tunataka kuona visible things being implemented positively for our development, watu hawali cheap politics kama hizi mnazofanya. Ni udogo wa mawazo na exposure
kwahyo unafkiri wangehojiwa clouds TV ili asbuhi yake waamkie central??Du kweli kosa pesa upate hekima kwani Kenya na tzd wapi nawapi
Kama kutukana tukana hovyo kwa akili yako ndo maana ya kweli ya demokrasia basi nadhani hakuna haja ya kuendelea kudiscuss, nyinyi ndo walewale wanasiasa njaa kwenye ukweli hamtaki, kwenye uongo mnataka. Mnawachezea sana wapiga kura wenu kwa kutokuwa na uelewa. Mnadhani siasa zenu cheap zitajenga nchi. Mtangoja sana kuweza kuongoza nchi kwakweliAt least far better than Tanzania rail ametishia mpka jeshi hadi kazuia watu wasiende kazini ila bado hajaitwa mchochezi wala kulala jela hivi Tanzania inawezekana hiyo??
Hakuna cha serious reform, this same agreements that were agreed in the past, these white investors were not honouring them. They were stealing, lying wrong amounts of quantities in the makinikias, lying that they were incurring loss whilst the stock exchange in London and Canada showing viceversa.mkuu unapata nini ukipotosha wakenya wasiojua siasa za Tanzania ???
1. Lisu hakusema approach ni mbaya ila ni kwamba lisu alitaka kuminimize risk ya hasara kwa kutukumbusha huko nyuma tulitumia approach kma hiyo mwisho wa cku tukapata hasara ya mabilion sababu sheria zetu zipo weak sana kwenye kulinda rasilimali hivyo akaenda mbali na kudai serious reform kwenye sheria zetu ili tusirudie makosa ya nyuma hivyo tunaweza kusema lisu and magufuli had one objective but different strategies au methods na ndio maana ya demokrasia hyo kupishana mawazo ssa kwanni akitofautiana na magu basi mnamuona kma msaliti??? ssa mlitaka akae kimya afu tuingie kwenye hasara kma dowans ama samaki za wachina???
2. Mbowe kachaguliwa kwa vipindi vitatu na katiba yao ya chama inaruhusu sasa ni dikteta kivipi wakati alichaguliwa kikatiba ?? pia hakuanza toka genesis sababu chadema imeanza early 90s ila mbowe amekua chairman 2004 sasa kivp kaanzia genesis wakati yye ni third chairman wa chama??? kma angekuwa dictator mbona aligombea Urais once alafu akaachia wengine unlike other opposition party leo hii anakua dictator???
3. hawakuenda kenya kuonesha ubaya wa magufuli ila kumbuka kilichowapeleka sio harusi au kuapishwa kwa kenyatta ila zaidi ni survival ya lisu hivyo wameitwa kuongelea hyo issue ya kupigwa risasi ssa ulitaka waongelee majimbo yao au bajeti ya nchi wakati kilichowaleta ni issue ya lisu !!! ssa ulitaka wamsifie magufuli wakati kwa. ssa ndio suspect wa kwanza kwenye shooting ya lisu sababu aliwahi mtishia sana huko nyuma kumshughulikia!!!!
4. unapotosha kuwa sio wazalendo ila ukweli ni kwamba hadhira waliotaka wapate ujumbe huu ni jumuiya yote ya kimataifa na afrika mashariki nzima pia ssa kma wangetumia kiswahili ujumbe si ungeishia tz na kenya pekee!! Huyo magufuli anatumia kiswahili sio sababu ya uzalendo ila sababu hakijui nafkiri unakumbuka madudu yake ya lugha kule lindi !!
Anyway all in all acha upotoshaji kwa wakenya haisaidii chochote kuficha ukweli kuwa mnaleta udikteta tanzania period
Nani politician hapa mini natoa main yangu haimaanishi nina ubia na chadema or what.... pia demokrasia sio kutukana kma katukana niambue tusi likwapi? demokrasia ni kruhusu free flow of ideas ndani ya mipaka ya sheria ndio maana marekani kuna hadi wanamziki wamemtukana trump ila wameachwa sababu ndio mawazo yao ila kma unasema tunatukana je huyo dikteta anayeita watu vilaza sijui wapumbavu mbona hakamatwi??? kuna mtu aliita watanzania malofa na wapumbavu mbona hamuwakamati????Kama kutukana tukana hovyo kwa akili yako ndo maana ya kweli ya demokrasia basi nadhani hakuna haja ya kuendela kudiscuss, nyinyi ndo walewale wanasiasa njaa kwenye ukweli hamtaki, kwenye uongo mnataka. Mnawachezea sana wapiga kura wenu kwa kutokuwa na uelewa. Mnadhani siasa zenu cheap zitajenga nchi. Mtangoja sana kuweza kuongoza nchi kwakweli
Wanasiasa wangapi wa Kenya wamepigwa shaba na kuuwawa wewe sympathizer, umewahi waona TBC au media yeyote Tz wakilia lia kama hao vishoia hapo.Sasa lisu kapigwa risasi unataka wawe wanafki waanze kusifia Kuwait kuna demokrasia Tanzania??? kma wakenya hawawezi kwa taarifa ababu namwamba akiwa mkutano wa kisera wa ACT aliikaanga sana serikali ya jubilee kma hujui kitu ni heri unyamaze kuliko kupotosha
tafsiri yako ya [][]na nmeelewa ssa. kwanni unashabikia udhalimu sababu hauathiriki nao kma anavyoathirika lisu na familia yake ama saanane na familia yake that is a selfish mind
naweza kuwa na 'selfish mind', kama unavyotaka niwe, lakini siwezi kuwa mpumbavu na lofa kushabikia matendo ya kuihalifu na kuyafanya ya kisiasa. Walio 'selfish' kwa fikra zako, ni hao waliojikusanya huko Nairobi, kwa kisingizio cha kumuuguza Mh Lissu, ili wapate umaarufu wa kisiasa. Wanafiki wakubwa na wasio na haya. Wasije wakadondosha machozi ya simba ukweli wa shambulizi hilo utakapojulikana. Nina uhakika ndiyo utakuwa mwisho wao kisiasa.
1 elimu bure inakufaidisha basi unasahau kuwa wanafunzi zaidi ya elf 50 wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika ila wwe unaangalia upande wako tu
kwako wewe suluhisho la kuelekea kwenye elimu bora ni kupanda kwenye majukwaa ya siasa na kuhubiri ya kufikirika au kukimbilia kwenye vyombo vya habari ili jumuia ya kimataifa ijue kuwa hayo majukwaa tumenyimwa ndiyo maana elimu ni duni. Fikra ganu hizo za kipambavu.
unasahau kuna familia za walimu zinataabika sababu walimu wana madeni toka 2009 hawajalipwa mpaka leo wwe unshabikia tu upande wako hivi unafkiri lisu anashindwa kula na kulala kwa kuangalia maslahi yake kuliko kuisimamia serkali bungeni mpka anarisk maisha yake???
kumbe unajua kuna Watz wana shida kama hao uliowataja. Je, hiyo haki wataipata kutoka kwa aina ya Msigwa na Lema kuiponda Tanzania ugenini au kurudia majimboni mwao na kuhamasisha maendeleo ili Serikali ipate kodi ya kuweza kuwalipa watumishi wake na kujenga mazingira mazuri ya kiuchumi!
...
anyway kma kupigania haki ya watanzania ni unafki basi lisu aendelee tu kuwa mnafki we r behind him
..hao wabunge wa Tz ni Godbless Lema na Peter Msigwa.
..Godbless Lema aliwekwa detention kwa miezi 5 kwa kesi ambayo inaruhusu kupewa dhamana(bail).
..State Attoneys walikuwa wana invoke injuctions kuzuia Hon.Godbless Lema asipate dhamana. And the Magistrates were allowing them to abuse the court.
..Sasa hiyo inakupa picha ya uhuni wanaofanyiwa viongozi wa vyama vya upinzani huku Tz.
..But u also have to take into consideration ni kitu gani kimewafikisha wabunge wa Tz hapo Nairobi.
..Ni kwamba Tundu Lissu ambaye ni Chief Whip wa opposition camp in our parliament ameshambuliwa in day light na watu wenye sub machine guns. Tundu Lissu sasa hivi yuko icu ktk hospital ya hapo Nairobi.
..Hali hiyo ndiyo inasababisha viongozi hao wa upinzani huku Tz waiseme vibaya serekali(government) wanapokuwa nje ya Tz.
Cc MK254
hawajaponda nchi wameponda utawala mbona Mandela alizunguka dunia nzima kuelezea ubovu wa sera za serikali ya makaburu hata kipindu kerry akiwa ameangushwa na bush aliwahi kuwa interviewed na BBC akakosoa sera za marekani hapo akiwa uingereza ssa kipi cha ajabu wanakosoa utawala wa kidikteta kwenye chombo cha habari ili dunia nzima ifaham sasa kosa lao likwapi???
Nani politician hapa mini natoa main yangu haimaanishi nina ubia na chadema or what.... pia demokrasia sio kutukana kma katukana niambue tusi likwapi? demokrasia ni kruhusu free flow of ideas ndani ya mipaka ya sheria ndio maana marekani kuna hadi wanamziki wamemtukana trump ila wameachwa sababu ndio mawazo yao ila kma unasema tunatukana je huyo dikteta anayeita watu vilaza sijui wapumbavu mbona hakamatwi??? kuna mtu aliita watanzania malofa na wapumbavu mbona hamuwakamati????
unasema upinzani watasubiri sana ssa kma unajua hilo mnaogopa nnii mikutano ya kisiasa mnaogopa nni kuleta tume huru??
unadai tunawadanganya watanzania hivi walioahidi maisha bora kwa kila mtanzania si ni hao ccm enhee mpaka leo mbona tunaishi chini ya dollar 1??? hao maccm ndio wakweli wakaahidi
mkuu unanskitisha sana sasa nani kakwambja msigwa au Lema hawajawahi fanya mikutano majimboni na kuhamasisha maendeleo ila sababu wapo kenya na kipindi ni cha siasa za ukanda huu basi wakaona ndio fursa ya kuwahojitafsiri yako ya [][]
embu acha upotoshaji kerry hakufa kisiasa zaidi alisifiwa kwa ushujaa wake mwisho wa cku alizawadiwa cheo na serikali ya obama sasa wapi alikufa kisiasaHivi ni kweli mtu unaweza kulinganisha na ubeberu, ubaguzi na ukatili uliokuwa unafanya na serikali ya kikaburu na utawala wowote uliowai kutokea Tanzania? Yani, utawala wa kikaburu uliokuwa unapingwa na 90% ya mataifa ya duniani ndio utasema kina Lema na wenzake wanapambana nano? Kama kweli Tanzania ina ongozwa na udiketa, mbona hakuna hata serikali moja au taifa lolote lililo toa tamko au kutoa reference yoyote kama hivi sasa Tanzania ni nchi ya kidiketa. Wapinzani mnatuumiza vichwa jamani Khaa, kila mahali ni fursa, hata majanga yaliyo mkuta Lissu na hiyo mnaigeuza kuwa fursa.
Hata huyo John Kerry unaemsema aliuponda utawala wa Bush akiwa nje ya nchi, haujasema jinsi vyombo vya habari vya Marekani walimchukuliaje aliporejea nyumbani. Kitendo cha yeye kumpinga Rais aliye madarakani kama amechukuwa uamuzi wa ovyo kuanzisha vita ya Iraq, kiliwakwaza waumini wa dini ya kikristo wa Marekani ya kati pamoja na Wayaudi wa Marekani ambao mara nyingi ndio wenye uwezo mkubwa wa kukupaisha au kukuangusha kisiasa kitu ambacho kilitokea kwa Kerry.
hahahahaha hi nchi bhana salsa hutaki reforms mbona prof. usoro alisema the same kwamba tubadili sheria kwanza ili tuzibe mianya au wwe unajua kuliko usoro alieandaa ripoti???Hakuna cha serious reform, this same agreements that were agreed in the past, these white investors were not honouring them. They were stealing, lying wrong amounts of quantities in the makinikias, lying that they were incurring loss whilst the stock exchange in London and Canada showing viceversa.
Unakuja hapa unanituhumu ninawadanganya wakati wewe hujui kitu na unaficha uovu wa chama chako. Serious reforms za kazi gani wakati hawatii makubaliano ya past reforms.
Chama chenu ni cha watu wasio na msimamo, watu waongo, Zito mlimfukuza kwa sababu gani, Slaa aliwakimbia sababu gani, Lowasa aligombea kwa Bendera ya chama chenu, demokrasia ilifuatwa?
Lowasa mlimtuhumu aje miaka kadhaa iliyopita alafu juzi mkaja tufanya wananchi wajinga kwa kumsifia tena. Nyie sympathizers mnanishangaza vichwa vyenu sijui mnafikiria aje. Eti ndio mkabidhiwe nchi, si bora huyo dikteta.
At first, I thought you would abandon your political ties and discuss the subject matter without taking sides!That is strictly your opinion they said nothing to seek sympathy rather Lema was very clear that they are agitating for international intervention because of the dictatorial regime trying to dismantle opposition in Tanzania thus they are helpless and vulnerable to such assasinations for example mawazo alphonce and ben saanane thus they have no internal bodies which could guarantee their safety
2. The topic is about politics of Tanzania but at the peak it was all about lisu coz that is the biggest topic in opposition political sphere in Tanzania now what else did you expect them to talk about while its clear that being an opposition in Tanzania is a guarantee to your death !! if i may to ask what did u want them to talk about???
3. kenyans dont care becoz of mere social networks ?? KTN is worldwide and i have a couple of friends in kenya who watched it and had mixed feelings about the tanzanian dictatorial regime as i may call it. At least go to you tube and check this very video u has taken a screenshot people only had to comment about the subject not the mode of presentation now among millions of KTN viewers countrywide u base ur conclusion from 20 comments on social media??? this is a joke for sure
finally i would like to remind u that they spoke english becoz the target audience was the international community thats all
Wakenya sio wapumbavu kama wewe na misukule wenzioEnyi wakenya, hawa wapinzani wa bongo ni hovyo sana na mashabiki yao yenye akaunti kumi kumi huku wanadhani wana effect on the ground.
Wanalilia demokrasia wakati chama Chao kinaongozwa na mwenyekiti dikteta wao since their genesis, Mr Mbowe.
Na kiingereza Chao broken, they are not even proud of their language, at least Magufuli yeye he doesnt pretend huwa anabonga swahili mwanzo mwisho.
Huyo mwanasheria wao alietwangwa risasi alikuwa anaitisha press anasema Magufuli anatumia wrong approach kudeal na hao miners and that their company would sue us, kumbe tayari serikali ilishaweka sleeper cells in those companies, they had extracted all essential information and leaked them to the government, sasa hakuna cha kesi waliyofungua hadi sasa hivi, wamebanwa kwenye mazungumzo wanaongeza tu idadi ya negotiators.
Sasa wanaleta maneno huko kwenu kuonesha ubaya wa Magufuli.
They will fail
Which language did they use to speak with KTN Broadcaster, i know Tanzanians most of them, they do scare to speak out English
embu acha upotoshaji kerry hakufa kisiasa zaidi alisifiwa kwa ushujaa wake mwisho wa cku alizawadiwa cheo na serikali ya obama sasa wapi alikufa kisiasa
hata museveni alimpinga sana idd amin akiwa dar es salaam na leo hii ni Rais sembuse msigwa akiwa nairobi??
Mkuu udikteta sio mpka wazungu waseme mbona walisema kuhusu burundi nni kimebadilika??eti mbona hamna nchi iliosema?? hivi kuna mtu anamuita aung san su kyi muuaji kisa kashindwa kuzuia ethnic cleansing myanmar?? au kuna mzungu kamuita al assad dictator???
sio mpaka dunia ikuite dikteta ndio ukweli ujulikane hta rwanda wahutu na watutsi walichinjana kuanzia 1990 ila dunia mbona iliita genocide ilipofika 1994??? mkuu wakurd wanatewa ila kuna mtu yeyote duniani anatambua mateso yao yani mpaka dunia iseme wakurd wanateswa ndio inakua uhalisia ila wasiposema basi wakurd ni waongo???
Sio sawa kabisa kuukataa ukweli kisa majirani hawajasema ila udikteta unaanzaga ivo ivo magufuli alishatishia vyombo vya habari baadae kaanza kutishia kushughulikia mitandao later upinzani eti ataushughulikia nje ya bunge ssa huyo tumuiteje??? ana viashiria vya udikteta mkuu ukatae ukubali ila siku akianza kuwamaliza kina msukuma na bashe kwa SMG ndio mtatia adabu
mkuu unanskitisha sana sasa nani kakwambja msigwa au Lema hawajawahi fanya mikutano majimboni na kuhamasisha maendeleo ila sababu wapo kenya na kipindi ni cha siasa za ukanda huu basi wakaona ndio fursa ya kuwahoji ninaamini umeupitia bandiko moja humu kwenye hii mada kuu, kwamba ..kuna vyama vya siasa na kuna vyama vya wafanya biashara na ndiyo hao akina Msigwa na Lema na wenzao.
Mi naendelea kuamini kuwa dikteta atakuja kuwageuka nape alikuwa anamtetea kulilo wwe leo kakaa benchi hku ametishiwa kuuawa na karipoti polisi siku wakianza pigwa risasi mawaziri ndio mtatia akili vzurii
Let us agree to disagree or agree in principal, that time will tell!ila mumshauri dikteta akubali kutofautiana mawazo na wengine naana wote duniani hatuwezi fanana mawazo
pia asiangalie nguvu ya opposition yaani aache kila mtu afanye kazi alioahidi ssa yye anataka kumaliza wapinzani ili asipate upinzani 2020 wakati akifanya alichoahidi watanzania watampa 90% ssa why akimbizane nao
magufuli can become the best president wa Tanzania ila kwa style hii hatuelekei kokote zaidi anajichafua na kulichafua taifa