Tanzanian fintech startup NALA raises $10m funding for continental expansion

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
Tanzanian fintech startup NALA has raised US$10 million in funding as it plans aggressive expansion across Africa in 2022.

A past winner of the Ecobank Fintech Challenge and Seedstars Tanzania, NALA has developed an app that allows users to make payments from the United Kingdom (UK) to Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Ghana. The startup is also piloting a service for businesses.

The US$10 million funding was secured from Amplo, Accel, and Bessemer Partners, with participation from angels including the founders of Monzo, Robinhood, Alloy and Deel. and Peeyush Ranjan, the head of Google Payments. NALA will be launching a crowdfunding campaign this year where their first users will get to own shares in NALA.

Using the funding, the startup plans to be active in 12 African countries by the end of the year, including Nigeria, while it is also targeting launches in the United States (US) and the European Economic Area in Q1.

“Payments in Africa are one per cent built. It’s 2022 and Africa’s still the most expensive place in the world to send money in and out of. Until this changes we are limited by the opportunities of trade across the continent. Over the next fiivee years, while logistics gets better, more places around the world are going to trade in and out of Africa, we are positioning ourselves to be at the forefront of this change,” said NALA CEO Benjamin Fernandes.

Source:Tanzanian fintech startup NALA raises $10m funding for continental expansion - Disrupt Africa
 
NALA hawakomi tu? Walikopwa hadi wakachanganyikiwa, wakaanza kuwaandikia wadaiwa sms za vitisho, hela tulizokupa ni za Freemason, lipa kabla ya Jumatano, ukishindwa tutakunyonya damu yako na ya mkeo na watoto wako.
Ujumbe huo alitumiwa kijana wangu akiwa form four, hana mke wala mtoto. Alikopa 20,000 akashindwa kulipa
 
🤣 Umetupiga kamba budaa!
 
Hizi startups cha maana wanachofanya ni marketing ya nguvu sababu hakuna jipya wanalofanya wao ambalo wengine hawajafanya....

Yaani hapa sioni ule u-UBER, Ebay; Amazon au hata Mpesa in short hakuna originality...

Ila Kudos for hard work and succeeding where many others have failed
 
Kuna mtu amewahi kutumia Mtabe app kama mwanafunzi?
 
Kuna mtu amewahi kutumia Mtabe app kama mwanafunzi?
Mtabe is a start-up using artificial intelligence and SMS technology to deliver learning content to students in Tanzania who cannot afford textbooks and have no Internet access. It is so simple that an average African student needs no new device to get started.

Mtabe’s goal is to help young people transform their lives through education, using technology to make learning easier, quicker and more efficient. Secondary school students aged 13-22 simply send their questions via the messaging area of their phone to Mtabe and receive the answer in a few seconds. The Mtabe team of educators, developers, entrepreneurs and experts covers all aspects of learning, providing instant, curriculum-aligned learning content to students via SMS, so that a young person in a place without light or internet can still learn.
Call me skeptic but the practicability of the above bolded statements leave a lot to be desired..., yaani wanafunzi ambao hawana vitabu watume maswali kwa sms na wajibiwe kwa sms (hapa nadhani wanatumia dumb phone ya bibi zao) alafu majibu yake (hapa kwenye sms sidhani kama jibu litakwenda deep) ili mtoto huyu ambaye hana hata umeme / mwanga wa taa ila ana sms na simu aweze kupata jibu na kujifunza ?

Need to get back to the drawing board ili kurekebisha baadhi ya mambo.., ni bora tu waweke site / platform yenye information zote na kujibu maswali yote na topic zote ili kila atakaye hata akaazime net ya Mjomba wake ili ajipakulie
 
NALA hawakomi tu? Walikopwa hadi wakachanganyikiwa, wakaanza kuwaandikia wadaiwa sms za vitisho, hela tulizokupa ni za Freemason, lipa kabla ya Jumatano, ukishindwa tutakunyonya damu yako na ya mkeo na watoto wako.
Ujumbe huo alitumiwa kijana wangu akiwa form four, hana mke wala mtoto. Alikopa 20,000 akashindwa kulipa
Unazungumzia TALA mkuu sio NALA
 
Hizi startups cha maana wanachofanya ni marketing ya nguvu sababu hakuna jipya wanalofanya wao ambalo wengine hawajafanya....

Yaani hapa sioni ule u-UBER, Ebay; Amazon au hata Mpesa in short hakuna originality...

Ila Kudos for hard work and succeeding where many others have failed
And that is what has to be done, marketing and sales is the most crucial part of any business. Otherwise, we will keep your name on books and papers for a good innovation and a Nobel. But for somebody to invest in your company he will be very strict about that. A good idea with a poor business plan is a waste of time. But a normal idea with a good business plan is like a diamond stone, attracting everyone.
 
Unazungumzia TALA mkuu sio NALA

IMG_0895.jpg

IMG_0896.jpg
 
Safi sana, tunawahitaji hawa na huduma zao, nafurahi ninapoona wabongo wenzangu wanaunda pesa, ila developers wa bongo ni big let down wamelala sana

Bongo huduma ya kutuma mizigo faster na kuaminika mikoani au nje ya Dar es Salaam ni kama hakuna au zero kabisa, posta huwezi kuwaamini ni wezi na slow kama CCM
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom