Tanzanian embassy, India

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
93
Naomba anaefahamu website ya Ubalozi wa Tanzania nchini India anipatie link hiyo.
Ahsanteni..
 
Usiombe huo ubalozi ni bomu balaa...! Yaani ubalozi unavuja paaa, ni mchafu na hauna hata receptionist...! Unaweza ukapiga simu masaa zaidi ya manne...! Nilifika hapo wakati mmoja sikuamini...! Hakuna watu ofisini kila mtu anakatiza mitaa tu na uchafu umekithiri...!
 
Hayo mengine muachie yeye ata-judge kama akifika, kaomba contact.

Hii stereotyping abt India itatumaliza! Tunavyokashifu utadhani hata robo tunawafikia! Wapo mbali wenzetu sasa hivi maendeleo ni kwa kasi haijawahi tokea, wanakimbizana na China!

Tutawasema wee ila sio level yetu jamani
 
Hata jengo la ubalozi wa TZ likiwa bovu huko india, sio kosa au umasikini wa India. Ubalozi ni mali na eneo la Tanzania. Wa kulaumiwa itakuwa wizara ya mambo ya nje ya TZ.
Unajua watu wengi wakikaa hapa dar, wakiendesha vigari kidogo na kunywa bia, basi wanafikiri tumeendelea saaana. Jamani, sisi bado. Tuache kukandia nchi nyingine.
 
Ubalozi wa tz delhi sio mchafu kama wasemavyo waliotangulia. Ni safi sana! Tatizo lao ni moja tu pale makarani ni wahindi. N karani huyo huyo ndio anakupeleka huku mara kula na hasa akitoka basi utapiga simu mpaka ukome! Chamsingi kama unashida na ubalozi ni kwenda palepale ofisini. Kuna vibabu vipo pale vizee ni noma. Vigumu kama nini! Ila unatakiwa unawakomalia tu! Kwakweli kama hawana kazi huwakuti ofisini haha. hata maji ya kunywa kwa wageni hakuna, lol.
 
Hayo mengine muachie yeye ata-judge kama akifika, kaomba contact.

Hii stereotyping abt India itatumaliza! Tunavyokashifu utadhani hata robo tunawafikia! Wapo mbali wenzetu sasa hivi maendeleo ni kwa kasi haijawahi tokea, wanakimbizana na China!

Tutawasema wee ila sio level yetu jamani
Mkuu mbona unashindwa kuelewa kinachoongelewa hapa!
Kinachoongelewa hapa ni UBALOZI WA TZ INDIA, siyo India yenyewe.
Ungekuwa mwanafunzi wa ufahamu basi umekosa kujibu swali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom