Google inatoa options nyingi sana ambazo hazina information ninayoitaka..
Hayo mengine muachie yeye ata-judge kama akifika, kaomba contact.Usiombe huo ubalozi ni bomu balaa...! Yaani ubalozi unavuja paaa, ni mchafu na hauna hata receptionist...! Unaweza ukapiga simu masaa zaidi ya manne...! Nilifika hapo wakati mmoja sikuamini...! Hakuna watu ofisini kila mtu anakatiza mitaa tu na uchafu umekithiri...!
Hayo mengine muachie yeye ata-judge kama akifika, kaomba contact.
Hii stereotyping abt India itatumaliza! Tunavyokashifu utadhani hata robo tunawafikia! Wapo mbali wenzetu sasa hivi maendeleo ni kwa kasi haijawahi tokea, wanakimbizana na China!
Tutawasema wee ila sio level yetu jamani
Mkuu mbona unashindwa kuelewa kinachoongelewa hapa!Hayo mengine muachie yeye ata-judge kama akifika, kaomba contact.