Tanzanian election 2010: My souvenir picture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanian election 2010: My souvenir picture

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by admissionletter, Oct 10, 2010.

 1. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau nawapatia picha yangu ya Souvenir ya Uchaguzi wetu was 2010. Nawatakia kila la heri mnapotumia haki yenu a kupiga 'kula'!

  [​IMG][​IMG]


  [​IMG]
   
 2. coby

  coby JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Imetulia sana, nawashauri mwanahalisi iwe front page next issue, watauza sana!!!
   
 3. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sawa Coby na wewe saidia kuisambaza hii souvenir iwafikie wengi. Nimemtumia Michuzi aweke kwenye blog yake kakataa!
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Michuzi hawezi kuiweka hiyo kwenye blog yake kwani jamii ya hao hao ndio wanaomuweka hapa mjini!!
   
 5. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Bulesi hii ni shida kubwa sababu vyombo vya serikali vinajisahau na kushabikia chama tawala badala ya kuwa 'neutral.' Hii ni 'chronic problem'
   
 6. R

  Rugemeleza Verified User

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mtumie Mzee wa Matukio daima na karibu ughaibuni. Vilevile isambazwe kwenye anuani za baruameme.
   
 7. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila moja aifanye kuwa sovenior yake!
   
 8. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee niwekee link / e mail zao basi mi niwajibike ili tusambaze haka ka souvenir ketu
   
 9. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ya, the souvenir can speak a thousand words!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  sasa amekataa kwa nini, naye ni mmoja wao nini!
   
 11. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aibu ya mkuu wa nchi na mwenyekiti wa Chama. Yeye ndiye aliyekuwa na mamlaka ya kuwapeleka mahakamani lakini hakufanya hivyo. ilipokuja kwenye chama yeye ndiye aliyekuwa na mamlaka ya kuwondoa kwenye list ya wagombea lakini hakufanya hivyo. Badala yake ameenda kuwapigia kampeni. aibu kubwa hii.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,475
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Ongeza na haka kapicha kama kuna nafasi

  [​IMG]
   
 13. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nayo hii imekaa mwake mwake. yaani inaongea zaidi ya maneno elfu
   
 14. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kwa hili JK na CCM walifanya makosa
  kwanza CCM kuwapitisha kwenye mkutano wao huku wakijua hawa jamaa wana shutuma za ufisadi, na mbaya zaidi kwa Mramba ambaye anashitakiwa na serikali ya CCM kwa ufisadi, Chenge ana kesi pia ya mauaji na Lowasi alitolewa Uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond
  Pili, JK hakupaswa kuwapigia kampeni kwa kuwambia wachagueni hawa ndiyo wanafaa huku NAFSI YAKE ikijua mabaya yao
   
 15. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sawa ngoja niangalie uwezekano na ku squeeze na kutoa revised (2nd edition) kabla ya uchaguzi!
   
 16. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ya, Nadhani
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Politics would be a helluva good business if it weren't for the goddamned people.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  MBONA HAWA WATU NI WASAFI SANA, WIVU WENU TUU!
  tatizo mnajua watashinda ndo maana mnawachukia!
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  ukichagua ccm basi ujue kwa hiari yako umechagua ufisadi............kesho na kesho kutwa usije kulalama
   
 20. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  HAPO NDO UTAJUA, ABDRAHIMAN SHIMBO ALIMAANISHA NINI.......mabosi wake ndo hawa, hapo kakosekana Mkulu tu! Sijui kama Dk Mwinyi naye ni mmojawapo? I wonder ......
   
Loading...