Tanzanian Banks tempering with customers accounts to make profits is their right or criminality? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanian Banks tempering with customers accounts to make profits is their right or criminality?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hofstede, Jul 2, 2012.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ninajua kuwa kila mtu anapofungua account anapewa terms and condition kuzisoma na kuzi-sign. Kuna aina mbalimbali za banking products, kama savings accounts, current account etc.

  Mimi ni customer wa CRDB Bank. Nimekuwa niki-note bank charges ambazo hazipo constistence kabisa yaani as if mtu akiamka anaanza kupitia accounts za watu na kuona leo aweke kitu gani kujustify kuchukua hela za wateja.

  As an online customer I can access my account at any time I want na nimekuwa nikifanya utafiti kwa ku-print data kila wiki karibu mwaka wa pili sasa. Kumekuwa na unjustifiable banking charges ambazo hata mantiki yake haijulikani.

  Sikutarajia banker aje anikate 'WITHHOLDING TAX' kwani mimi sina share CRDB kusema kwamba labla wamenilipa dividend na hivyo wanakata kutokana na 'dividend income'. CRDB haijawahi kuni-credit na banking interest ya aina yoyote ile kuweza kusema labla itakuwa recognise as an 'interest income'. Je hii ni halali kwa bankers kufanya mchezo huu au ni wizi.

  My guess ni kuwa huenda kuna 'salami slicing' zinafanywa katika accounts za wateja bila ya wao kujua na huu ni wizi au 'Banking fraud'. I will request explanations if not satisfied will sue them for the benefit of others.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama akaunti yako ni "current" akaunti ambayo haizai (haina interest) kukukata "withholding tax" ni kukuibia pesa zako.

  Withholding tax inakatwa tu kwa wale wenye akaunti zenye faida mwisho wa mwaka na hiyo withholiding tax inakatwa kama sikosei ni 10 % ya faida wanayokuwekea kwenye akaunti aidha mwisho wa mwaka au mwisho wa mwezi.

  Na kama una share CRDB, ninachojuwa ni kwamba wanakukata kwenye divident uliyopata kwa mwaka na kiasi kinachobaki wanakiingiza kwenye akaunti yako bila akaunti yako kusoma kuna withholding tax kwa maana hiyo withholding tax inatakiwa ionekane tu kwenye document wanayokutumia inyaoonyesha gawiwo ulilopata na withholding uliyokaatwa na kiasi gani kimeingizwa kwenye akaunti yako.
   
Loading...