Tanzanian Ambassador to the US, Mr. Ombeni Sefue Speaking

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
308
Kusema ukweli ukweli Amb.Sefue yuko very eloquent ukilinganisha na Kikwete katika hizo clips, au kwa sababu jamaa alikuwa ni speech writer hali iliyomuwezesha awe good public speaker? Kikwete katika hiyo Youtube clip anaonekana anajiuma-uma na kama vile hana uhakika na anachokizungumza.
 

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,189
53
Asante Joka kuu na GQ kwa clips!

Yaani huyu Kikwete watanzania walipotezwa na propaganda za magazeti ya Rostma na mashine zingine. This guy anatia aibu muda mwingi sana.

Yaani basi tu!
 

Pedro

Senior Member
Nov 17, 2006
114
3
Jamani jamaa vitu alivyovielezea kule kama ni kweli mbona tutaanza kupaa kinyarwanda?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom