Tanzania yetu!!!!.

jar

New Member
Jan 28, 2011
1
0
Tanzania yangu nakupenda,ila viongozi wetu wana siasa sasa wamekua kama doctor wa kitengo cha upasuaji alie amua kuwa mjasiriamali na kufungua duka la kuuzia majeneza, tutarajie vifo vingi ili majeneza yauzike.
Angalia Dowa..,Rada...,Speedgavana...,na madudu mengine sijui yatakwisha lini?.na uwajibikaji wa haki na kweli sijui utaanza lini.
 
Back
Top Bottom