Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
- Thread starter
- #101
Walituacha kwasababu ya kusimamia Mfumo mmoja walioamini utawaletea maendeleo (commusnism) Sisi kila Awamu ilijikuta inakuja na Mfumo wake.
Mfano; Nyerere- ijamaa
Mwinyi-Capitalism(mzee wa ruksa)
Mkapa- Privatisation Na kuendelea..
kwa variation hiyo ya mifumo ya kiuchumi ndo ilisababisha Wachina wakatuacha tukihangaika kuendelea mpaka leo.
Harafu hiyo one child policy: ilikuja baada ya Ongezeko kubwa la Wachina lililotokana na sera ya kuzaliana. Kabla ya one child policy kulikuwa na sera ya kuzaliana Ambapo waliamini ili utengeneze Taifa lenye nguvu kubwa na kipato Cha juu lazima liwe na watu wengi. Na ndo Maana idadi ikafikia Hadi 2b.
Baada ya lengo kutimia na kuoenekana kuzidi ndo ikabidi wafomulate new policy ambayo ndo hiyo ya one child policy so that they can control their population.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn kwa nini wamefanya one child policy kama kuzaliana bila ya mpango ni kitu kizuri?