Tanzania yetu ina mfumo bora wa Siasa Afrika!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hilo halipingiki hakuna nchi ya Kiafrika yenye mfumo wa kisiasa bora, mzuri na endelevu kama yetu!
Ukiangalia nchi nyingi za Kiafrika kama siyo zote hakuna Chama cha Siasa chenye miaka zaidi 10, lkn Tanzania yetu ni kawaida kuna vyama vipo tangu 1995 mpaka leo hii, nchi nyingi za Kiafrika kama siyo zote vyama huanzishwa tu kwa lengo la uchaguzi na uchaguzi ukiisha basi vyama pia hufa!

Lakini labda la muhimu klk vyote hapa kwetu ni hili la kuwa na Chama kilichokomaa kama CCM na kinachoendeshwa kitaasisi, ambapo kuna utaratibu mzuri hakuna kung'ang'ania madaraka, mipaka ya kazi iko wazi na inajulikana!

CCM inailinda Tanzania kwa kuhakisha kwamba hakuna vyama visivyo makini na vinavyoongozwa na maslahi ya watu binafsi vinaweza kuachiwa kuongoza nchi yetu, hivyo vyama vya mifukoni vinapiga kelele zao tu huko nje lkn linapokuja swala la nchi yetu kwa sababu ya umakini wa CCM, Watanzania hatuko tayari kuwapa nchi hawa Wapinzani!
 
Ccm iliporomoka sana baada ya nyerere kung'atuka.Sasa naiona Ccm mpya isiyoyumbishwa na matajiri wezi, chama kikabidhiwe kwa mnyooshaji haraka ili kijijenge kiuchumi kiepuke kuibiwa namwishowe kwenye kampeni kianze kutafuta matajiri kukibeba.
Rais mkali lakini mwema, mwenyemisimamo lakini mpenda mabadiliko,mwenyekasi lakini mtulivu ndiye tuliyemwitaji Sasa vyama mbadala visitake makuu vienende kwa busara ili vikue na kushamiri.
 
Sasa boss unasemakuna mfumo mzuri mara ccm sasa tukuelewe vip bora ungeisifia ccm iliieleweke
 
Ha ha ha, Tyta ndugu yako kaja na habari hii.
I hope you understand what I mean...
104px-5000_tz_shillings_back.jpg
101px-2000_tz_shillings_front.jpg
.............
 
Back
Top Bottom