Tanzania yenye vipaji vingi vinavopotea

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.

 
Hiki kipaji kinawakilisha vipaji vingi vilivyo chini ya kapeti hapa bongo.
Aisee samatta toka Mbagala mpaka Ulaya.
Big up sana kwa kutumia fursa.
 
Back
Top Bottom