Elections 2010 Tanzania yenye maraisi wawili

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
Kwa mara ya kwanza tunashuhudia Tanzania yenye maraisi wawili yani raisi wa tume ya uchaguzi(baba ridhiwani) na raisi wa WATANZANIA DR SLAA
 
Kwa mara ya kwanza tunashuhudia Tanzania yenye maraisi wawili yani raisi wa tume ya uchaguzi(baba ridhiwani) na raisi wa WATANZANIA DR SLAA

Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.
 
ok brother who is the president of TANZANIA,kama uchaguzi ungekuwa haki na ukweli
 
Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.
Huyo ndiye 'Dr' Manyaunyau, kama wengi wenu mulikuwa hamjui uandishi wake!..Ndo wabunge wetu hawa wa chama tawala!..
Kama kutakuwa na mtu kaelewa (hapo red) anisaidie mawazo!
 
ok brother who is the president of TANZANIA,kama uchaguzi ungekuwa haki na ukweli

Jibu na Dr. Wilibrod Peter Slaa!!!!!! Nchi hii Watanzania walishakuwa tayari kuipa CHADEMA madaraka, lakini CCM hawakuwa tayari kukabidhi IKULU!!!! Wizi mtupu!!!!!!!!!

Watanzania wanataka kujienga nyumba bora kwa kununua simenti na bati kwa bei nafuu. Lakini CCM hawataki watu waishi kwenye nyumba bora ili madawa yaendelee kupata soko. Tutambue kwamba afya bora inaendana na nyumba bora. Upuuzi mtu.
 
Dr Slaa Rais wa watu makini nawaadilifu na makini , Kikwete Rais wa watu wapenda mizaha, Matani na watu wenye uelewa rojorojo.
 
Huyo ndiye 'Dr' Manyaunyau, kama wengi wenu mulikuwa hamjui uandishi wake!..Ndo wabunge wetu hawa wa chama tawala!..
Kama kutakuwa na mtu kaelewa (hapo red) anisaidie mawazo!
Mkuu nimekubali, darubini yako inafanya kazi vilivyo. enzi hizo nilikuwa mpiga chabo humu huh!! Naomba tumuelewe vile alivyotaka aeleweke la sivyo, unaweza kumaliza vikopo vya kutosha kuutafuta mchanganuo wake hapo :smile-big:
 
Kuna ma heavy weight wawili chadema Mbowe Vs Slaa kila mmoja ana mtaji wake amewekeza ndani ya chama , hapa yatatokea ya mafahali wawili...
 
Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.

usiwe unaongea as if umepakatwa wewe..kanisa linahusikaje hapa?ndo maana mliambiwa mnazaliana kama kuku kwa ajili ya mawazo na statement zenu za kipumbavu
 
Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.

Avanti

Wewe raisi wako ni yule wa tume ya uchaguzi mimi ni Slaa kwa hiyo usibishie watu kwani sio wote wanaomtambua
 
Back
Top Bottom