Kwa mara ya kwanza tunashuhudia Tanzania yenye maraisi wawili yani raisi wa tume ya uchaguzi(baba ridhiwani) na raisi wa WATANZANIA DR SLAA
Huyo ndiye 'Dr' Manyaunyau, kama wengi wenu mulikuwa hamjui uandishi wake!..Ndo wabunge wetu hawa wa chama tawala!..Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.
ok brother who is the president of TANZANIA,kama uchaguzi ungekuwa haki na ukweli
Mkuu nimekubali, darubini yako inafanya kazi vilivyo. enzi hizo nilikuwa mpiga chabo humu huh!! Naomba tumuelewe vile alivyotaka aeleweke la sivyo, unaweza kumaliza vikopo vya kutosha kuutafuta mchanganuo wake hapo :smile-big:Huyo ndiye 'Dr' Manyaunyau, kama wengi wenu mulikuwa hamjui uandishi wake!..Ndo wabunge wetu hawa wa chama tawala!..
Kama kutakuwa na mtu kaelewa (hapo red) anisaidie mawazo!
Hakipo kitu hicho, sana sana ataharibu tu, uking'anghaufai. Hata kanisa aliwaachia else alitaka awe Kardinal wa TZ.