cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 350
"hii kali". m7 aje azomewe?
Nashukuru mwanajamvi umeniongezea siku za kuishi..Hhahahahaaaaa...Huenda hii ndio inaweza kuwa sababu ya msingi kwani M7 anaweza kuwa aliwaambia wenzie mambo yanavyomwendea kombo JK.Mie kinachoniumiza kichwa.Hii badget ya miaka hamsini imetoka wapi?maana kwenye badget kuu,hakukuwa na ya maadhimisho.Au ndio hela za rada zimeanza kuliwa taratibu au ni zile za EPA/