Maraisi wa Afrika Mashariki wamepata dharura na kushindwa kuja kuhudhuria sherehe za kutimiza miaka 50 ya uhuru wetu. Je,wamezira sababu tumekataa kuweka ardhi yetu rehani ktk shirikisho la A. Mashariki? Hawa kweli ni wenzetu kama wanavyotaka tuwaamini? Hivi hatuwezi kuendelea mpaka tuwe na 'ushosti' nao?

Na bado naiona amani na maendeleo SADC kuliko EAC,falsafa ya EAC bado haiko bayana na imekaa kijanjakijanja (kihuni) zaidi,Tz tumechomekwa tu bila kurealise kwanini tuungane ama la
Mnaongea upupu 2,kwa habari za ndani na uhakika marais wa afrika mashariki wamekasirishwa na ha2a ya Tanzania kukataa kusaini mkataba wa Jumuia ya Afrika mashariki wenye vipengele vya ardhi na usalama,pili kutoshiriki kwa JK kwenye mikutano ya Eac inayofanyika nje ya Tanzania,LET THEM GO TO HELL WE NEED OUR LAND.
Na bado naiona amani na maendeleo SADC kuliko EAC,falsafa ya EAC bado haiko bayana na imekaa kijanjakijanja (kihuni) zaidi,Tz tumechomekwa tu bila kurealise kwanini tuungane ama la
Ukiacha marais wa EAC wote kuwa na dharura kwa mpigo na hivyo
kushindwa kuja, ni viongozi gani wengine wa nchi za nje wameshiriki?
Jirani yako akishindwa kuja kujumuika nawe kwenye jambo kubwa kama hili, inabidi
kujiuliza mara mbilimbili!
Ukiona hivyo basi ujuwe wanaweza kuwasaidia "waasi wa Tanzania" endapo watakuwepo.
Msimamo wa vyama vya upinzani kwenye hiyo issue ukoje?
Ama mjadala huu ni wa wana CCM?

Hao wanaojiita marafiki toka EA ni wanafiki wakubwa, wameona tumewanyima ardhi yetu ndio wamekasirika. Bora hata hawajaja maana wangetuchefua.