Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Yaani ccm imara inayumbushwa na barua moja ya ZZK?
Hiki chama kinajishusha hadhi sana...!!
 
Msimamo wa Zitto ndio position ya CCM kwa mujibu wa ilani ya chama.
 
Nadhani ni mkopo chief...sio msaada.
yah nilichokiandika nilidhamiria misaada ndiyo maana nikaweka muhisani....hata hivyo mikopo yenyewe ni kama misaada kwa sababu tunaiomba kwa dhumuni la kutatua kero zetu na sio kufanyia biashara
 
Zitto anafanya watu wasilale, kawashika pabaya CCM.
Zitto Kabwe uwezo wake wa Kufikilia unaishia Burundi na Kongo, Maisha ya kwetu hajayazoea. Amezoea kulalamika ili apewe msaada, Mpaka namna ya kulalamika anajikuta anaishi Maisha ya nchi ya Wazazi wake ya asili.
Chanzo cha nchi zake za asili kushindikana kusuluhika ni kutokana na ujuaji uliokithili, kila Mtu kujiona yeye anafaa kuliko Mwingine na kila Mtu analazimisha ili yeye ndo awe Mkuu ndo Matokeo ya Zitto Kabwe kujiita Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo kitu ambacho kwetu Watanzania hakipo bali amekilithi huko kwao. Ninachomaanisha mnielewe kwamba huyu Mtu Mtu kuishi kwake ni kwa Madili. Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji hawamuelewi, ila utafiti Wangu nimebaini kuwa hako Kapepo hakana Mapenzi na Watanzania.
Kitendo cha kuandika Barua ya kinajisi dhidi ya nchi yetu yenye upako wa Mungu Baba, hata kama JF mnakapendelea Kazito Kabwe punguzeni. Haka kajamaa kamekata tamaa ndiyo maana kana pumuliwa.
 
Si ndiyo maana wakaitwa wapinzani, kwani mpinzani kazi yake ni kuunga mkono au kupinga??

Wao kupinga na kutafutakasonro za serikali diooo kazi yao na wanalipwa kwa hilo.
Kazi ya upinzani sio kupinga ninkuonyesha mbadala wa Sera walizonazo.
 
Kama taifa hakika tutakuwa na safari ndefu sana tukipata kiongozi kama wewe ambaye badala ya kutatua changamoto anadili na mtu asiye na uwezo wa kutenda zaidi ya kuropoka tu
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Mbinu muflisi, hoja hujibiwa kwa hoja, na wala si kwa viroja ama viroba kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom