Tanzania yatuma ujumbe mzito South Africa

Watawala wa Tanzania wanachekesha kweli.Hivi wakijua uraia iansaidia nini ?.Wauaaji wanaweza kuwa raia wa Tanzania au kenya au wakawa na uraia wa nchi yoyote ile it does not matter.

Issue kubwa hapa ni kujua ni nani aliyewatuma kufanya mauaji.Membe na genge la watawala wanapaswa kuwaeleza wananchi na dunia kwa ujumla kama tumekubali kumtumikia dikteta P Kagema kuendeleza mauaji ya watu wasiokubaliana na uzandiki wake.

Nami nimekuwa niki hoji kama wewe. Na kwa kuongeza tu ni hakika kama Mtanzania huyu anayehusishwa na mauji ya jenerali angekuwa ni wa kawaida tu serikali unafikiri ingali jihusisha kupeleka ujumbe mzito huko. Kuna Watanzania wanahusishwa na kesi za mauji kila mahala hata ndani ya America (kama yule mpemba ambaye anayehusishwa na ulipuaji wa Ubalozi amabye kesi yake inaendelea kufukuta hapo mjini New York- hakuna hata delegate representative kutoka serika ya Tanzania). Lakini na tujiulize kwa nini serikali iwe na interest ya Mtanzania huyu:)? mupo Wana Jamboforum hapo:)?
 
Hii si jamboforum bana. Ni Jamiiforums.
 
Khe khe khe ati ujumbe mzito, mzito my foot , siku hizi hakuna ujumbe mzito ni wajumbe wa misukule tu hakuna atakayewasikiliza.
 
Back
Top Bottom