Tanzania yatoa tamko la kutomtambua Laurent Gagbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yatoa tamko la kutomtambua Laurent Gagbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Tina, Jan 11, 2011.

 1. B

  Baba Tina Senior Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tamko rasmi la kutomtambua Laurent Bagbo na kumtaka aondoke madarakani kwa hiari yake na kumuachi madaraka mshindi halari wa kiti hicho bwana ALLASANE QUATTARA. Hayo yamesemwa na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bernard Membe.

  Source: BBC idhaa ya kiswahili
   
 2. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  ya kwao yamewashinda wanarukia ya wenzao
   
 3. P

  Paul J Senior Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ya kwao yanawashinda, wanakodolea macho ya wenzao!

  Unakimbilia kuzima moto kwa jirani wakati kwako kunateketea!
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,161
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Huu uhuni, mlikuwa wapi muda wote umepita bila kutoa tamko? Kwanza huyu alitakiwa atoe tamko la kumtaka rais wake ajiuzulu kumpisha mshindi, na baadae atoe tamko la Arusha.
   
 5. N

  Njaare JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hii kali! Na hapa watamkabidhi dokta wa ukweli ushindi wake
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli nyani aoni kundulie
   
 7. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mabwana zao wamemkataa unatarajia wao watamkubali??

  Ukweli unabaki pale pale, they dont have moral right to do so kwa sababu na wao niwalewale sema tu hawana namna ya kumkubali maana Marekani, EU et.al wamemkataa.

  NAkuhakikishia wangemkubali na wao wangekubali maana wamewapa hawa mabwana zao hadi utashi wa kuwafikiria
   
 8. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  isije ikawa ni maoni binafsi ya membe maana viongozi wa serekali hii hawana tofauti na walevi
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Nyerere peke yake ndio aliyekuwa anaweza haya bila kusikiliza la hao
   
 10. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na hili li-Laurent Gbagbo wetu yeye anaondoka lini?
   
 11. B

  Baba Tina Senior Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana kasema ni msimamo wa serikali tena ametamka hayo alipokua anaongea na mabalozi, Possiby ndio maana katamka hivyo kwa sababu mabalozi hawamtambui.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Am speechless, ukishangaa ya Musa basi subili uyaone ya firauni. mbona kwenye mambo kama haya ni marais ndio wanatoa matamko ya nchi zao?
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha ha ha
   
 14. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyu Benard Membe anaupungufu wa akili kwani yeye na ccm wenzake wameshindwa kumtoa meya wa Arusha wanadakia mambo ya Ivory Coast. Waache unafiki
   
 15. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  mbona hata ccm wenyewe ushindi wao ni wa abracadabra! Wangetoa kwanza boriti lao
   
 16. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acheni bange nyie slaa ndio kachakachuliwa lakini hakushinda chochote....
   
 17. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sema A........ aaa
  Sema B..........biii
  sema C..........siiii

  yaani km watoto wa chekechea kila ukiambiwa sema ndicho unasema.

  Fikra changa walikuwa wapi kusema mwanzo mpaka wafundishwe kusema km chekechea
   
 18. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kichwa chako kimejaa TOPE na kwa kuwa pia unajua bangi pengine ulilishwa ukiwa mdogo.

  Mawazo mgando
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  bora umeliona hilo,wameshindwa kutoa tamko la busara kuhusu dowans,mauaji ya arusha,uchaguzi mkuu,mabo kibaoooo wanadakia ya jirani bila hata kushirikishwa
   
 20. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,981
  Trophy Points: 280
  Wao tanzania watoe tamko kama nani tanzania is insignificant in International politics.
   
Loading...