Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Serikali kupitia waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetangaza ongezeko la wagonjwa wanne wa Virusi vya Korona.
Waziri Ummy Mwalimu amesema... (NUKUU)
Wizara inathibitisha kuwepo kwa kesi mpya nne za maambukizi ya corona zilizopatikana DSM, Mwanza na Zanzibar na kufanya jumla ya kesi 24 zilizoripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huu TZ, wagonjwa hawa ni pamoja na wawili ambao wametolewa taarifa na Waziri wa Afya Zanzibar.
Wagonjwa wawili wapya wa corona Tanzania Bara ni Mwanaume(41) Raia wa Tanzania, mkazi wa Mwanza aliyeingia Tanzania kutoka Dubai kupitia uwanja wa ndege wa JNIA na kuelekea Mwanza na mwingine ni Mwanaume (35) Raia wa Tanzania, mkazi wa DSM, mfanyabiashara, wote wapo chini ya uangalizi wa watoa huduma.