Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
Uzi mzima mnafanya conversation vijana wachache wanufaika wa CCM haya bhana
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
.........Kazi iendelee .........

=========================

Here are the top 10 best African countries to invest in 2021

  • North Africa remains dominant, with Egypt ranking first as Africa’s leading investment destination, followed by Morocco.
  • Rwanda and Botswana are among the more prominent countries to have moved up the rankings at fourth and fifth positions, respectively.
  • This year, Tanzania also made the top ten investment destinations list after failing to make the cut in the 2020 and 2019 rankings.
South African Rand Merchant Bank (RMB) has just released its list of top 10 investment attractive countries in Africa, aimed at investors targeting real assets in an economy or looking to expand businesses that rely on physical infrastructure.

According to the author, RMB Africa Economist Daniel Kavishe, a new world called for a new approach to the publication, and this year’s report assesses the extent of the pandemic’s impact by sketching the landscape of the continent pre-COVID-19 and then painting a picture of both its actual and potential outcomes through and post-pandemic.
Historically, investment destinations in Africa have been ranked based on the tenets of economic activity and business operating environment. However, this year’s approach required an extra layer of sophistication, taking into account key factors such as the operating environments, fiscal scores and development plans, all of which are key to investment attractiveness in a Covid world.
“We created a new set of rankings that incorporated some of the unavoidable COVID-19-induced challenges, of which the operating environment score was one,” Kavishe said.
She added that a fiscal score was also part of the methodology, and this was essential because fiscal scores are important indicators of how governments respond to COVID-19.
“Although the pandemic brought much devastation, it also enabled opportunities for reimagining policies and trade relationships. Increasingly clear now is that home-grown strategies to tackle poverty, inequality and unemployment across Africa must be implemented. If not, all of Africa suffers,” Kavishe noted, adding that capital will flow naturally to economies offering a good mix of opportunity and ease of doing business.

Here are the top 10 investment attractive countries in Africa in 2021, according to RMB

  1. Egypt: While Egypt’s economy was hard hit by the pandemic, it was also one of the first to bounce back to a path of growth. This, owing to the swift measures it introduced and the fact that it been on a stronger footing at the outbreak of COVID-19.
  2. Morocco: The economy of Morocco continues to benefit from political stability. A special fund to combat COVID-19 was established in 2020, representing 2.7% of GDP. Two-thirds of the funds were to be provided by private sources and one third by the government.
  3. South Africa: The southern-most country in Africa offers a strong manufacturing and retail base that will continue to support southern African regional economies with goods and services.
  4. Rwanda: Rwanda continues to benefit from the efforts it has made to improve its operating environment. Furthermore, as part of the National Strategy for Transformation (NST), various investments should support the construction and energy sectors over the next few years.
  5. Botswana: The country has high foreign exchange reserves, which have enabled it to weather the pandemic-induced economic storm better than most. The Pula Fund, a sovereign fund created in 1994 that finances a large part of the budget deficit, has meant that fiscal dependency on debt has been low.
  6. Ghana: Ghana entered the current crisis on a relatively stronger footing than its African peers. Structurally, its economy has seen major shifts over the past few years, positioning it for significant growth going forward. This is supported by primary-sector industries like oil and gold and accelerated development in the tertiary sector.
  7. Mauritius: Aided by an extremely favourable tax regime, its financial sector will remain one of the main drivers of Mauritius’ economy into the future – notably through cross-border investment activities and banking services.
  8. Côte d’Ivoire (CIV): A rise in private investment should continue to fuel construction, agri-industry and services (trade, transport and ICT in particular). Private investment will benefit from the impetus provided by public investment under the 2016-20 National Development Plan.
  9. Kenya: According to RMB, the Kenyan government’s efforts to ensure that implementation of the “Big Four” plan focused on industrialisation, universal health coverage, food security and affordable housing will invariably lead to fast economic growth.
  10. Tanzania: Tanzania has been on a rapid path of development over the past few years. This growth can be attributed to consistent public investment from the government in key secondary and tertiary sectors, ranging from the energy sector to advancements in the telecommunications and finance sectors.
Taarifa njema sana hii,
 
RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji​

" Hakuna kama Samia "​

Jarida maarufu barani Africa na duniani la" Business Insider Africa "limechapisha taarifa toka benki ya Rand Merchant Bank ya watu wa Africa Kusini zenye kichwa cha habari " Here are the top 10 best African countries to invest in 2021"kwa tafsi isiyo rasmi " Hizi hapa nchi kumi bora zaidi kwa uwekezaji barani Africa mwaka 2021 "

Mtakumbuka pia mwezi uliopita SHIKANA & GROUP pia waliitaja Tanzania kushika nafasi ya nne ( 4 ) baada ya Mauritius,Rwanda & Kenya kwa kuwa na mazingira mazuri zaidi ya kuwekeza barani Africa ni jambo jema sana na lazima kumshukuru Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan, Mazingira mazuri ni pamoja na utulivu wa kisiasa,Sera tabirika za kodi, Upatikanaji wa nishati za uhakika,Upatikanaji wa miundombinu rafiki ya usafirishaj wa bidhaa,Upatikanaji wa masoko,Utawala wa sheria, Uhuru wa watu kutoa maoni, Usalama wa ndani na nje,Mambo yote haya ndio yanaifanya nchi kutajwa kuwa bora kwa watu wote duniani kuja kuwekeza hii si habari ndogo wala si habari ya kupuuzwa na kila anayelitakia mema Taifa hili,

RMB wanasema nanukuu, "
This year, Tanzania also made the top ten investment destinations list after failing to make the cut in the 2020 and 2019 rankings " kwa tafsiri isiyo rasmi, mwaka huu Tanzania pia imeingia kwenye nchi kumi bora kwa uwekezaji baada ya kuwa nje kwa miaka ya 2020 na 2019,

Pongeza za pekee zimfikie Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikiwa kuiingiza nchi yetu kwenye orodha ya nchi kumi tu zenye mazingira mazuri zaidi ya kuwekeza barani Africa, Hii maana yake nini Mtu|kampuni yoyote duniania ikitaka kuwekeza wanapitia orodha hii ndipo waje kuwekeza Africa, Watanzania tutarajie mafuriko ya wawekezaji kuanzia sasa,

View attachment 1957136
VIVA TANZANIA || VIVA SAMIA VIVA
Matokeo tumeyaona, Kazi isonge
 
Visit Tanzania
 
Kazii Tanzania
 
CM 1774858 wewe ni Mtu mwenye akili kubwa 💪💪💪
 
Back
Top Bottom