Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 1,448
- 1,003
Tanzania kama speed ni hii basi mpaka 2030 huenda Tanzania ndio ikawa nchi yenye Uchumi mkubwa Africa,Tumwombe sana Mungu wetu katika hili
Safi sana, Tanzania tuko juu sanaTanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,
" Hakuna kama Samaia "
Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )
Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,
Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-
1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6
2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8
Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,
Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,
NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,
" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "
View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
WonderfulTanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,

Nakupenda Tanzania wanguTanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu,
" Hakuna kama Samaia "
Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )
Vilevile,baada ya Tanzania kutajwa kuwa ndio nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi zote ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake hawa ambao bado ni masikini wanahitaji unafuu wa maisha,
Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwamwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka jana 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-
1. Rwanda $0.258kWh au TZS 567,6
2. Kenya $0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda $0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania $0.099kWh au TZS 217.8
Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme unaotumia Wewe Mtanzania kwa siku mbili Ukienda Rwanda, Kenya au Uganda utatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani kwani nchi yetu iko vizuri na katika uelekeo sahihi,
Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,
NB,Hapa tu ikiwa bado hatujaachia zile megawatt zetu 2,115 toka bwawa la Mwl Nyerere ( JNHPP ) kwenye gridi ya Taifa,
" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana kamwe tusijidharau wala kujilalamikia cause God loves us "
View attachment 1954959
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Unataka nani asifiweMbona sifa kwa Chifu Hangaya zimekuwa nyingi sana kwa siku za karibuni tena kwa vitu ambavyo amevikuta.?