Tanzania yatajwa kuwa na simba wengi kuliko nchi nyingine duniani

1646192209557.png

Kweli wako wengi, wale wote kule nyuma ni nyara ya serikali
 
Wazaramo kwa makuzi huwawezi yaani visimba vyenyewe ni million 2 tu...pori zima!!! basi anaona weeeengiii....hiyo ni idadi ya ngombe wa mtu mmoja kure Mara....sembuse porizima??? niridhani ni simba million 39 hivi kwa uchache. Apigwe chini huyo hana malango mazuri.....wameebda wapi???
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom