Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Wasalaam Watanzania wenzangu,

Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita.

Bei ya juu ya kununua GB1 kwa Tanzania ni US$ 0.75 karibu sawa na Tshs 1,650 japokuwa mitandao mingi bei ya GB1 ni Wastani wa Tshs 1,000.

Wakati huohuo Sisi tunanunua GB1 kwa " Buku " wenzetu wa Mauritania wao wananunua GB1 kwa US$ 5.56 karibu Tshs 13,000 za Kitanzania,Maana yake ukienda na Tshs elfu 13 za kununua GB13 Tanzania Mauritania jiandae kununua GB1 tu, Nadhani mmeelewa kwa kiasi gani Mama Samia anatupenda watu wake.

Sio huko tu, hata majirani zetu na marafiki zetu wa kibiashara wa muda mrefu Kenya wao wananunua GB1 kwa zaidi ya Tshs 5,000 au US$ 2.25 kwa lugha nyepesi Mkenya akiweka GB 1 kwenye simu|Mtanzania ataweka GB 5 kwa kiwango hichohicho cha Pesa na hii ndio dhana ya Mama Samia katika kuwajali na kuwathamini wanyonge kwani anatambua zaidi ya watu 30M wanatumia internet kwa maana ya kuwa na Simu Janja|Smartphone na wanazitumia kibiashara yaani e-business.

Viva Tanzania | Viva Samia | Viva CCM
________________________________

Read the following story on The Star, Kenya: "The top 10 African countries with the cheapest internet data plans" — The top 10 African countries with the cheapest internet data plans

The top 10 African countries with the cheapest internet data plans
__________________________________

Millions of Africans accessing mobile data at some of the lowest prices in the world.

In Summary
______________

• Kenya and South Africa, with advanced mobile infrastructure and high internet traffic, fall far behind the list, with charges of 2.25 dollars and 2.67 dollars per gigabyte of data respectively.

• The cost of mobile internet in Sudan is 27 US cents (0.27 US dollars) for every gigabyte of data.

BY CONRAD ONYANGO FOR BIRD
Africa.
10 September 2021 - 11:43
_________________________

Sudan leads nine other African countries that charge its citizens less than a dollar for a gigabyte (1 GB) of mobile data, a report by British technology research firm Cable shows.

The Northeastern Africa nation offers the lowest cost of internet access over a smartphone anywhere in Africa and ranks among the top five cheapest countries for mobile data, in the world, according to the Worldwide Mobile Data Pricing 2021.

The cost of mobile internet in Sudan is 27 US cents (0.27 US dollars) for every gigabyte of data.

The result is that access to the internet has become ubiquitous in many of the densely populated areas across the enormous country.

Citizens in Sudan "rely heavily on mobile data as the primary means to keep its populace connected to the rest of the world,” says the report.

Algeria is second-cheapest at 0.51 dollars, while Somalia takes the third-cheapest slot on the continent, at 0.60 dollars.

Consumer telecoms analyst at Cable, Dan Howdle, said countries with the cheapest rates of mobile data have excellent mobile and fixed broadband infrastructure, making it easier for service providers in those markets to be able to offer large amounts of data, which brings down the price per gigabyte.

“Others with less advanced broadband networks are heavily reliant on mobile data and the economy dictates that prices must be low, as that’s what people can afford,” said Howdle in the report.

Sudan, with a population of more than 45 million and at least 13 million internet subscribers is at par with Italy (0.27 US dollars), but trails Israel (0.05 US dollars, or 5 US cents), Kyrgyzstan (0.15 US dollars) and Fiji (0.19 US dollars), in the global ranking.

Other African countries that charge mobile internet subscribers less than a dollar to browse the web and run mobile apps are Ghana (0.66 US dollars), Libya (0.74 US dollars), Tanzania (0.75 US dollars), Mauritius (0.75 US dollars), Nigeria (0.88 US dollars), Cameroon (0.90 US dollars) and Senegal (0.94 US Dollars).

The report, which featured more than 230 countries across 12 regions and compared the cost of 1GB from over 6,000 mobile data plans, also pointed out that North Africa (at an average of 1.53 dollars) has the cheapest data plans in the world.

Algeria (16), Libya (30) and Morocco (45) are in the World’s top 50 while Egypt (55) Tunisia (59) and Mauritania feature in the top 100 global list.

However, Egypt (1.04 dollars), Tunisia (1.09 dollars) and Mauritania (5.56 dollars) charge more than a dollar for 1GB of data.

Kenya and South Africa, with advanced mobile infrastructure and high internet traffic, fall far behind the top 100 list, with charges of 2.25 dollars and 2.67 dollars per gigabyte of data respectively

The cost of data in these two countries, however, is cheaper than the global average of 4.07 dollars.

According to the report, South Africa and Kenya are considered competitive mobile markets with the prices of these ‘wealthy nations’ not necessarily considered expensive by customers.

“Many countries in the middle of the list have good infrastructure and competitive mobile markets, and while their prices aren’t among the cheapest in the world they wouldn’t necessarily be considered expensive by its consumers,” says the report.

South Africa and Kenya have rolled out commercial 5G networks in their markets.

This ultra-high-speed internet, though still in its infancy, is billed to have the potential to drive unprecedented and inclusive mobile data growth across the continent.

Sources :STARView attachment 1933398
Kimbia mbele rudi nyuma tikisa wenzele,ewena maaa
 
Kenya na southafrica,ndio nchi zilizoendelea kidigitali hapa africa.tanzania ili tufike walipo,itabidi tuongeze tozo tu
 
sasa ningejibu kitu sijasoma? kwa kiasi flan bado hujui uchumi wa dunia unavofanya kazi ndo maaana nkakuuliza unaelewa maaana ya $1 - 2300tsh?
Ndio ninaelewa. Swali ni je nchi ambayo watu wake wanauwezo wa kuishi juu ya hiyo $ 1/day unahis purchasing power yao itakuwa sawa na nchi ambayo watu wake naeneo mengi naishi chin ya $1 kwa siku had gharama zao zilingane?
 
Uchumi wao unachangia kuuziwa bando bei kubwa
Kuna watu humu wanafikria kama watoto wanaona ni sifa kusifia ata ujinga.

Na sio bundle za internet tu huko ata bidhaa za kawaida kama maji, soda, biscuits nk bei zake utakuta zipo juu kuliko hapa kwetu. Mishahara /vipato vyao navyo utakuta vipo juu ukilinganisha na misharaha/vipato wanavyolipwa wafanyakaz hapa kwetu ata kama kazi zao zinafanana na hao wa ayo mataifa
 
Yani inashangaza! Mtu wa Kenya tu bei ya bundle kwao itakuwa ni juu kuliko kwetu.
 
Ndio ninaelewa. Swali ni je nchi ambayo watu wake wanauwezo wa kuishi juu ya hiyo $ 1/day unahis purchasing power yao itakuwa sawa na nchi ambayo watu wake naeneo mengi naishi chin ya $1 kwa siku had gharama zao zilingane?

Jibu ni NO:
BUT, The average standard rate ya kila gb globally ni mpaka $3 - $4 au na zaidi, Tz ni $0.4- $0.7 per GB, ina maanisha tupo kwenye EQUITY ya huduma, tuseme karibia citizens wengi ni below $1 , hio rate per gb ni within our reach already! so its cheap
 
Bas sio swala la kushukuru serikali pekee bali na watoa huduma kwa kutumia marketing strategy ambayo wanajua inalenga walio wengi na sio wachache na inaonekana ni nafuu lakin sio nafuu bali ni standard kuendana na hali ya uchumi ya watumiaji wa hizo hudumaa . Na hii sio kwa vifurush vya mitandao tu bali ata bidhaa nyingne ambazo zinazalishwa kwa ubora sawa dunia kote(mfano bidhaa za Coca-Cola na peps) hatulingani bei fatilia bei huku na hapa kwetu zitaonekana kama zipo chini ila kiukweli hazipo chini.
 
Daaah kumbe Kuna watu wanunua GB1 kwa Tshs 13,000 hapahapa Africa halafu sisi buku maneno mengiiii,
Samia yuko vizuri 2025 anakura yangu
Kwanini kwenye maendeleo tunapenda kujilinganisha na failures?? Yaani Mauritania ndio ya kucompare na TZ? Kwanini tusijilinganishe na nchi kma Kenya tu na Rwanda ambazo ni immediate neighbors ambao tunashabihiana kidogo??

Hata demokrasia utaskia oooh Gambia huko sijui hamna katiba mpya..... huwa hamtumii realistic examples kabisa.

Kuna nchi mfano Morocco au Misri hiyo dollar moja kuipata ni kma jero tu ya huku so hta wakiuziwa dollar kadhaa bando hawaoni tatizo...... So ukifanya comparison pia angalia vitu kma purchasing powet parity, inflation, interest rates, currency in circulation n.k coz dollar moja hyo hyo thamani yake inatofautiana kati ya nchi na nchi.
 
Huyu Mama kama mwendo ndio huu basi We have The bright future kama tutampa sapoti,
Anajitahidi sana katika Utendaji,
Kumbe bei ya bando iko chini hivi khaaa Watanzania walalamishi,
hahahaha hebu tuambieni gharama za vifurushi zimepanda au zimeshuka? hebu weka takwimu musiba
 
AKILI ZAKO FUPI SANA KIJANA WA LUMUMBA, yaani nchi hii ambayo wananchi wanalalama kila uchao na makodi ya hovyo, balozi zinafungwa wee unahangaika na bando? are you mad bando ni nini for God sake
 
Bas sio swala la kushukuru serikali pekee bali na watoa huduma kwa kutumia marketing strategy ambayo wanajua inalenga walio wengi na sio wachache na inaonekana ni nafuu lakin sio nafuu bali ni standard kuendana na hali ya uchumi ya watumiaji wa hizo hudumaa . Na hii sio kwa vifurush vya mitandao tu bali ata bidhaa nyingne ambazo zinazalishwa kwa ubora sawa dunia kote(mfano bidhaa za Coca-Cola na peps) hatulingani bei fatilia bei huku na hapa kwetu zitaonekana kama zipo chini ila kiukweli hazipo chini.

🤣 🤣 🤣 kilichoshusha bei za bando sio mitandao ni kitu kinaitwa MKONGE WA TAIFA: nchi nyingi ukanda huu zna bei ndogo kwa sababu ya tanzania mfano, rwanda, burundi, DRC, zambia & malawi zote znatumia mkonge wa tanzania kufika baharini

- na sio data tu mpaka umeme nchi nyingi znanunua kwetu
 
Uko sahihi 100%
 
Back
Top Bottom