Tanzania yashuka kwenye kiwango cha demokrasia huku Kenya ikiongoza ukanda wote wa Afrika Mashariki

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,743
48,321
Tanzania imetajwa kushuka nafasi saba na kuorodheshwa kwenye mataifa yenye matatizo ya kidemokrasia duniani,
----------------------------

Tanzania has lost its ranking as the most free democracy in the region to Kenya, and its reputation is now seen as rivalling politically hotspots around the world, a new report shows.

Dar has dropped by seven places over the last one year, scoring 45 aggregate score points as opposed to 52 points in the previous study which had ranked it better of all the six members of the East Africa Community (EAC).

But the ‘Freedom in the World Report 2019’ released Friday shows that Kenya – with a score of 48 points, is now the leader in political freedom in EAC. Kenya scored the same points in the 2018 report.

According to the report, Burundi (18 points) is the least politically free, followed by Rwanda (23) and Uganda (37). However, despite the different scores, Tanzania and Kenya fall under the “partly free” democracies category in the study. The other categories are “Free” and “Not Free”, with Uganda, Burundi and Rwanda all falling in the not free category.

Conducted by ‘Freedom House’ every year, the study interestingly placed Tanzania on its “top 10 watch list countries” for 2019. Freedom House is a US-based independent watchdog organisation dedicated to the expansion of freedom and democracy around the world.

Other than Tanzania, the other countries on the watch-list include Armenia, Brazil, Cambodia, Cameroon, China, Ethiopia, Iraq, Poland and Sri Lanka. Freedom House says countries on the watch list are those that experienced developments that affected their democratic trajectory.

Tanzania loses top freedom rank to Kenya
 
Safi sana, mambo yakiendelea hivi demokrasia ndio itakuwa kati ya legacy ya maana sana ya rais Uhuru Kenyatta. Sikutegemea rais yeyote atakuja kumpiku rais mstaafu Emmilio Mwai Kibaki. Kweli dikteta rais Moi alikuwa ameikaba Kenya sawasawa kwenye m*p#mb#.
 
Wazungu ndio wana amua demokrasia wanayotaka wao kutukana ruksa siasa za chuki ruksa jinsi wanavyo taka tuta shuka sana mpaka sasa Magu amefanya makubwa sana Katika nchi yetu kiuchumi tuna Fanya vizuri kimiundo mbinu tuko vizuri sana kila mtu hana haki ya kutoa maoni lakini yawe ya kujenga sio kejeri chuki au matusi..
 
Demokrasia sio chuki wala matusi, bali nikuheshimu sheria, kwa wananchi na viongozi pia, na kuipa katiba ya nchi hadhi inayofaa. Point yako ntaikubali ukinidhibitishia kwamba demokrasia sio kiungo msingi kwenye katiba ya Tanzania.
 
Tanzania hakuna uhuru wa kufanya siasa ya kikabila, Kufuja na kuiba mali na mashamba ya umma. Hata uhuru wa kuhonga polisi hakuna. Dili hauwezi piga upate hela ndefu.
Hii nchi bana ni ya maajabu sana.
Hela zilozotapakaa kila mahali sasa haziko tena, ukitaka kula bata lazima uchape kazi, mzee bure alikufa. Hapa kazi tuu
 
Demokrasia kwa mapana yake,hata mtu akisema rais wa nchi ni shoga anatakiwa aachwe kama alivyo.

Thats how it goes.
 
Tanzania imetajwa kushuka nafasi saba na kuorodheshwa kwenye mataifa yenye matatizo ya kidemokrasia duniani,
----------------------------

Kwa aina ya serikali na uongozi tulionao, tutegemee kushuka chini zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Safi sana, mambo yakiendelea hivi demokrasia ndio itakuwa kati ya legacy ya maana sana ya rais Uhuru Kenyatta. Sikutegemea rais yeyote atakuja kumpiku rais mstaafu Emmilio Mwai Kibaki. Kweli dikteta rais Moi alikuwa ameikaba Kenya sawasawa kwenye m*p#mb#.

Hili eneo la kuminya demokrasia, ndio eneo ambalo Magufuli hafanyi vizuri na ninapingana na uongozi wake sana tu. Kama ni kumpa marks ninampa 90%, hizo kumi ni kutokana na kuminya demokrasia, katika hili tupo pamoja sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo lenu hamuwasomi vizuri hawa jamaa, wakisema demokrasia wanamaanisha uhuru wao kufanya wanachotaka kwenye nchi zetu (EPA, madini, mafuta n.k) ila kwa ufahamu mdogo na kutokuwaelewa tunafikiri hiyo demokrasia inatulenga sisi.
 
Madini na gesi yenu huwa wanachuma bila kujali vya demokrasia wala nini.
 
Uliandika kile kile mlichokaririshwa kulaumu laumu mabepari kwa ujinga wenu.

Hatulaumu mtu bali tunawaeleza ukweli wa jinsi mambo yalivyo, hawa jamaa kama huna akili ya ziada huwezi kuwaelewa, utakuwa unacheza tuu muziki wao.

Watakuja "dog whistling each other saying freedom, democracy and other coded languages"...nyinyi mnafikiri wanawazungumzia nyinyi, kumbe wanaongelea freedom zao.
 
Tanzania hakuna uhuru wa kufanya siasa ya kikabila, Kufuja na kuiba mali na mashamba ya umma. Hata uhuru wa kuhonga polisi hakuna. Dili hauwezi piga upate hela ndefu.
Hii nchi bana ni ya maajabu sana.
Hela zilozotapakaa kila mahali sasa haziko tena, ukitaka kula bata lazima uchape kazi, mzee bure alikufa. Hapa kazi tuu

Tanzania kuwahonga polisi ni jambo la kawaida.
Last month I was there and almost every police check I stopped at demanded hefty bribes.
Something that does not even happen to me in Kenya when in a private car.
 
Kumbe uhuru wa kuhonga upo bado? Tunangoja Jiwe aruhusu angalau uhuru wa siasa za kikabila, wizi wa mashamba na atleast wizi wa kura..Esp wizi wa kura ni Fundamental right ya shitholes zote za afrika kenya ikiongoza
 
Naskia Kenya kuna fundi flani mtaalamu wa mitambo anaitwa Jecha, wa tume ya uchaguzi. Yaani akitamka inakuwa ndio kama zile sheria za Musa zilizoandikwa kwenye jiwe. Alafu huko Kenya pia naskia hamna cha kupinga matokeo ya kura ya urais mahakamani wala nini. Yakishatendeka tu, basi ndio hivyo, mnapambana na hali zenu kwa miaka mingine mitano..... alafu huo muda ukishaisha wanabofya kitufe cha rewind na ngoma inanoga tena kwa mara nyingine.
 
Naskia Kenya kuna fundi flani mtaalamu wa mitambo anaitwa Jecha, wa tume ya uchaguzi. Yaani akitamka inakuwa ndio kama zile sheria za Musa zilizoandikwa kwenye jiwe. Alafu huko Kenya pia naskia hamna cha kupinga matokeo ya kura ya urais mahakamani wala nini. Yakishatendeka tu, basi ndio hivyo, mnapambana na hali zenu kwa miaka mingine mitano.
Bora kuna uhuru wa wizi 😂😂😂
 
Kumbe uhuru wa kuhonga upo bado? Tunangoja Jiwe aruhusu angalau uhuru wa siasa za kikabila, wizi wa mashamba na atleast wizi wa kura..Esp wizi wa kura ni Fundamental right ya shitholes zote za afrika kenya ikiongoza

Dictator wenu huiba kura kila siku. When you assassinate your opponents, you're basically rigging yourself in.
 
Tanzania imetajwa kushuka nafasi saba na kuorodheshwa kwenye mataifa yenye matatizo ya kidemokrasia duniani,
----------------------------

Tanzania has lost its ranking as the most free democracy in the region to Kenya, and its reputation is now seen as rivalling politically hotspots around the world, a new report shows.
Dar has dropped by seven places over the last one year, scoring 45 aggregate score points as opposed to 52 points in the previous study which had ranked it better of all the six members of the East Africa Community (EAC). But the ‘Freedom in the World Report 2019’ released Friday shows that Kenya – with a score of 48 points, is now the leader in political freedom in EAC. Kenya scored the same points in the 2018 report.
According to the report, Burundi (18 points) is the least politically free, followed by Rwanda (23) and Uganda (37). However, despite the different scores, Tanzania and Kenya fall under the “partly free” democracies category in the study. The other categories are “Free” and “Not Free”, with Uganda, Burundi and Rwanda all falling in the not free category.
Conducted by ‘Freedom House’ every year, the study interestingly placed Tanzania on its “top 10 watch list countries” for 2019. Freedom House is a US-based independent watchdog organisation dedicated to the expansion of freedom and democracy around the world.
Other than Tanzania, the other countries on the watch-list include Armenia, Brazil, Cambodia, Cameroon, China, Ethiopia, Iraq, Poland and Sri Lanka. Freedom House says countries on the watch list are those that experienced developments that affected their democratic trajectory.
Tanzania loses top freedom rank to Kenya
Lunatic is an unnecessary
 
Back
Top Bottom