Tanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA)

Nandy

Good news ni kwamba Mwimbaji wa Tanzania staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo mbili.

Alikiba

Tuzo za Alikiba ni Best Artist or Group in African RnB and Soul ambayo ameshinda pamoja na Rapper wa Nigeria M.I ambae walifanya pamoja Smash Hit ya ‘Aje” na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambapo smash hit ya “Aje” imechukua…….. List kamili ya Washindi wote itakujia soon hapahapa


List ya washindi wa tuzo hizo ni hii hapa

Best Central African Act (Male) – Locko

Best Central African Act (Female) – Montess

Best East African Act (Male) – Eddy Kenzo

Best East African Act (Female) – Nandy

Best Southern Africa Act (Male) – Emtee

Best West African Act (Male) – Wizkid

Best West African Act (Female) – Tiwa Savage

Best African Collaboration – Alikiba feat M.I – “AJE

Best Artist in African Rock – Gilad Millo (Kenya)

Best Artist or Group in African RnB & Soul – Alikiba feat. M.I – “AJE“

Best Artist or Group in African Contemporary: DJ Tunez feat. Wande Coal – “Iskaba“

Best Artist or Group in African Raggae & Dancehall – 2Baba – “Holy Holy“

Best Artist or Group in African Hip Hop – Ycee – “Juice“

Best Artist of Group in African Pop – Toofan

Video of the Year – Orezi x Adasa Cookey – “Cooking Pot“

Best Female Artist in Inspirational Music: Asikey George

African Songwriter of the Year – Simi

Producer of the Year – DJ Coublon for Seyi Shay’s “Yolo Yolo“

Artist of the Year – Wizkid

Song of the Year – Wizkid feat. Drake – “
Come Closer“

Chanzo: Millard Ayo
 
Upande ile nyimbo 7 tuzo 2 kelele mji mzima..kina nyimbo moja tunzo bado zinaendelea kumiminika watu wako cool tu,upande ule wanamashauzi sana.
 
Back
Top Bottom