Tanzania yashika nafasi ya tatu kwa ubunifu kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,874
Utafiti uliofanywa na Global Innovation Index umeitaja Tanzania kushika nafasi ya tatu kwa ubunifu nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara huku ikiwa nafasi ya 90 kidunia

Nafasi ya kwanza kwa Afrika inashikiliwa na Afrika Kusini ikifuatiwa na Kenya. Huku nafasi ya kwanza duniani ikishikwa na Marekani

Orodha hutolewa na Shirika la Mali Miliki Ulimwenguni (WIPO) na huangazia vitu vinavyofanikisha ustawi uwezekaji, ajira, uboreshaji wa hali ya maisha na urahisi wa kufanya biashara na kazi

Download ripoti HAPA
 
Tupe link ya insta mkuu
 
Ubunifu gan mkuu, si wabun njia mbadala ya kupata hela kuliko matozo na namna wanavyowakamua watu kwa Kodi!! n.k? Hz habar nimezisoma kwa sbb nimegundua wee ni rafik yangu, ningeona wee ni Mwiguru nchemba, ningefumba macho ata kuzisoma...

Bora ungesema tasisi flan ndan ya Tanzania imeshika nafas ya 3, siyo Tanzania yenyewe.... Mizengwe tu.....
 
Nilikua namuangalia Waziri mkuu akiangalia teknolojia za migodini huko Geita,nikaona teknolojia ya kuchenjua dhahabu ikihusisha kutumia magunia na madiaba ya maji.

Nikasema tu hiiiiiii,mambo ya innovation hayo.
 
Back
Top Bottom