Tanzània yashika nafasi ya nane Kwa watu wake kujiteka na kujiua

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
1 .Mymar .44%
2.North Korea 38%
3.South Korea 25%
4.Sri Lanka
5.Lithuania
8.Tanzania
Msimamo uko hivo watanzania wameshika nafasi ya Nani Kwa matukio ya kujiteka na kujiua ambapo wanaume ndiyo wanaongoza Kwa matukio hayo

Hii yote ni huyo jamaa wa kihutu

Swissme
Kulikuwa na Uzi hapa unauliza, jee serikali ikigundua kuna kiongozi mkuu sio RAIA wa nchi hii hatua gani itachukuliwa?
Umefutwa ghafla sijui kwa nini wakati ni swali LA msingi la kikatiba
 
Tatizo ni mental health,kuna haja kila mkoa kuwe na Hospitali kama Mirembe..
29062708_1668566906568328_4460189301988130816_n.jpeg
 
Tanzania kila sehemu tunapigwa iwe kwenye michezo tunaburuzwa iwe kwenye riadha tunachukua nafasi za mwisho, hadi kwenye kujiteka tumeachwa mbali tena
 
Kulikuwa na Uzi hapa unauliza, jee serikali ikigundua kuna kiongozi mkuu sio RAIA wa nchi hii hatua gani itachukuliwa?
Umefutwa ghafla sijui kwa nini wakati ni swali LA msingi la kikatiba

Amri kutoka juu

Swissme
 
Duh speechless, na kwa utawala huu wa Bashite na mjomba tunaweza kuwa wa tatu nyuma ya Korea kaskazini.
 
Back
Top Bottom