Tanzania yarudi kwa Mchina kuomba mkopo wa SGR

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Hehehe!! Haya mambo bana, Tanzania ilijishaua na kupiga chini mkataba wake na Mchina, kipindi hicho Mchina alikua amejitolea kugharamia ujenzi wa reli yote, wakampa Mturuki, lakini leo hii wamerudi kwa huyo huyo Mchina waliyemsema vibaya sana, wamemwomba awape mkopo kwa ajili ya ujenzi wa reli ya SGR, maana mambo yameshindikana.
Hii inafaa iwe funzo kwamba maskini hana jeuri ya kutunisha misuli, kama huna hela ujue huna usemi wowote, kubali usaidiwe, wacha kuwapigia watu makele na kuongea sana.
Mchina amewaambia wasubiri afanye tathmini kwanza.

Lazima tukubali hali kama ilivyo, Mchina ameshakubali atagharamia kipande kilichokua kimesalia kwa Kenya, hivyo sisi tayari tuna uhakika wa kuunga Uganda.
------------------------

China is back as one of the potential financiers of Tanzania’s flagship standard gauge railway project, Foreign Affairs Minister Palamagamba Kabudi confirmed this past week.
“The Chinese government has declared its intention to support the SGR construction at a later stage, and is now doing its own evaluation of the project before engaging us in further talks,” Prof Kabudi said, after attending a co-ordination meeting of the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) in Beijing.
The SGR, stretching 1,457km from Dar es Salaam to western Tanzania, is one of the mega-infrastructure projects being touted by President John Magufuli’s government as key to its industrialisation agenda over the next decade.
The budget for the railway is $7.5 billion, with a five-year completion timeline.
Funding
Earlier plans for China’s Exim Bank to provide most of the funding for its construction fell through after the administration rejected the Chinese in favour of a Turkish-Portuguese consortium.

After that deal failed, Tanzania declared that it would pay for the project out of its own pocket. That has worked for the first two phases of the project, Dar es Salaam-Morogoro and Morogoro-Makutupora, covering 726km and costing Tsh4.89 trillion ($2.5 billion).
Tanzania Railways Corporation (TRC) officials say the first phase of the project (Dar-Morogoro) is two-thirds complete, and preparatory work on Phase Two (Dar-Makutupora) is underway.
However, funding has become an issue. TRC communications manager Jamila Mbarouk confirmed in an interview with The EastAfrican this past week that:
“The government is now striving hard to get some financing assistance in order to complete the remaining phases of the SGR construction, starting from Makutupora to the Lake Victoria zone and the western part of the country — covering about 731km.”
The Tanzanian parliament last month approved a Tsh2.5 trillion ($1.1 billion) allocation in the country’s 2019/20 budget for the SGR project, almost half of the entire Ministry of Works development expenditure budget for the year.
China is understood to have also told Kenya and Uganda to work on their respective financing modalities for their joint SGR project in order to receive funding.
China had initially declined to fund the project, with analysts saying the risk of default for both countries was high.



 
Mimi nilichoona soma na kukishika kichwani ni pale mchina alipokataa kuweka pesa yake kwenye mradi wa reli kati ya KE na UG.

Huyu muandishi akasema "China had initially declined to fund the project, with analysts saying the risk of default for both countries was high"
 
Mnapindisha maneno.

Serikali ilisema haitangojea mkopo, itaanza kujenga yenyewe ila kama atatokea mtu wa kutoa mkopo kwa masharti mazuri, serikali iko tayari kufanya mazungumzo.
Hakuna aliyepindisha mkuu,mie nimenukuu kauli ya "MTU FURANI".
 
Back
Top Bottom