Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Shirikisho la Soka Duniani(FIFA) latoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka. Tanzania imeporomoka kwa nafasi 4 (135 hadi 139).
Brazil wamebakia katika nafasi ya kwanza, huku kwa nchi jirani na Tanzania zikiwa katika nafasi zifuatazo, DRC 39, Uganda 71, Kenya 74, Zambia 99, Malawi 117, Rwanda 128 na Burundi 148.