Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Naona Kabudi anakula funda moja la nguvu. Utasikia "aaah nilikuwa nife"..Kumbe Jiwe katuma mgonjwa hahahaaaaa
IMG_20200508_165958.jpg
 
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi
View attachment 1443831
View attachment 1443800View attachment 1443801View attachment 1443802

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.
View attachment 1443820
Eti msaada, wanauza wenzenu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GTs,
Kwa hakika nchi yetu kwa kipindi hiki imekuwa na maadui wengi, hasa wanaotuonea wivu kwa msimamo wa rais wetu, utajili wetu na amani tuliyonayo. Majirani zetu wanatamani tufe wengi.

Sasa nimeona zile dawa za madagascar, waziri anakunywa.

Je zimehakikiwa ni salama na vyombo vyetu vya husika????

Kama havijahakikiwa nashauri tusitumie.
 
Back
Top Bottom