#COVID19 Tanzania yapokea Dozi 499,590 za Chanjo ya Pfizer

Dah, mkuu kazi tunayo. Natafuta dozi ambayo hata nikichanja naingia nchi yoyote ile. Kuna dozi nyingine hazitambuliki Ulaya na Marekani.
Achana na hayo mengine tafuta mtu akuuzie cheti cha hiyo Pfizer iliyoletwa utaweza kwenda popote. Vyeti vinapatikana tu tena bila kuchanjwa na ni original, wanachofanya wanateketeza kidozi kimoja wanakuandikia cheti Ila usilogwe ukachoma kweli kama unajipenda. Usikubali kuwa mbuzi wa kafara kwa kufanya majaribio mwilini mwako.
 
Duuh, we jamaa unawapenda saana wazungu
Yaani hauko tayari kumpinga mzungu kwa lolote!!
Basi walau ujifunze kwa mtoto mdogo,
" Mtoto mdogo anahudumiwa kila kitu na mama yake, lakini anapambana kujifunza matendo ili ajitegemee, aachane na misaada ya mama yake"
 
Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa wajinga na wapuuzi alishawahi kutuaminisha kwamba Corona haipo na kwamba tutashinda kwa nyungu na maombi?

Shetani yule sasa imebaki historia acha wananchi wachanjwe
Huna akili wewe umekalia majungu na chuki +unafiki
 
Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa wajinga na wapuuzi alishawahi kutuaminisha kwamba Corona haipo na kwamba tutashinda kwa nyungu na maombi?

Shetani yule sasa imebaki historia acha wananchi wachanjwe
Haya wapenda chanjo pelekeni vinyer mkachanye hii inachwanjwa katikati ya ass
 
Hujui lolote wewe kaa kimya . Kutoa maoni ni haki yangu kikatiba mambo ya vyeti feki yanaingiaje hapo.
Nilisoma mpaka mwisho wewe na ukoo wako haamuwezi fika nilipofika mm na sijawahi kuwa na cheti feki wala kufeli mitihani shule wala chuo chochote.
 
Back
Top Bottom