mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,763
- 35,205
Hiyo demokrasia ingekuwa inaminywa hata huyu Lissu asingekuwa anaropokaropoka upuuzi kama anavyofanya sasa hivi.
Wanachokitafuta hawatakipata. Maana hata hao wanaotumika wapo wanaokiri serikali iko makini
Chadema tulieni October 28, sio mbali