Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.
My take.
Hili ni Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani.
Nawahakikishia bila kuongeza ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.
RIP Magufuli .
muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.
Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV