Tanzania yaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,264
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ni Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani.
Nawahakikishia bila kuongeza ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .
muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Kenya walikuwa na corona na wakaji lock down and up. Ninawaza tu. Time will tell.
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
2,010
2,000
Bila Magufuli hizo ndege unazo nyea nyea usisingeziona
Acha upimbi magufuli Hela alizitoa mifukoni mwake ,unaabudu wafu mpaka Leo badilika.Ndo baadae mnakuja kupewa sijui U DC Kwa mapambio yenu alafu mna utashi mdogo . Uyo sponsor wenu ndo kaleta vilaza+chawa kibao
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,917
2,000
Acha upimbi magufuli Hela alizitoa mifukoni mwake ,unaabudu wafu mpaka Leo badilika.Ndo baadae mnakuja kupewa sijui U DC Kwa mapambio yenu alafu mna utashi mdogo . Uyo sponsor wenu ndo kaleta vilaza+chawa kibao
Kwani gaidi nae alilipia ndege?
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
2,010
2,000
Kwani gaidi nae alilipia ndege?
Baba wa familia unaishi Kwa kuabudu mtu ,familia yako inashida .live your life be a gentleman sio unaishi ki lamlilamli kama mganga wa kienyeji .Sio shabiki wa uyo unaemwita gaidi ila Mungu adhihakiwi anything can happen kwenye unafiki it's matter of time
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,831
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ni Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani.
Nawahakikishia bila kuongeza ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .
muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Ayo tv imetoa taarifa hiyo kwa shaka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom